Sajenti
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 3,651
- 412
...Oooh! Good luck Geoff...Kumbe ndio maana kuna siku alinishambulia hapa kuwa mimi sijao kumbe mwenzangu ka-project kanakaribia ku-take off!!! Mi sijachanga pesa nitakuja na gunia la mahindi ukumbini siku ya harusi kutoka kwetu huku mbozi kama zawadi yangu ili wapate ugali wa kuimarisha mwili na shemeji...I believe shemeji yetu sio kama yule demu wa Masanja asiyetaka ugalii ugalii...Kwa wale wote marafiki wa Geoff bwana harusi wetu wa JF kwa mwezi huu wa February: Kama mnavyoona siku ndo zimesonga mbele na zazidi kusonga tumebaki na less than two weeks from today mambo yaive.
Michango inaendelea kutolewa na so far so good no complaints kabisa. Ila bado tunapokea michango kwa wale wanaojisikia kutoa ili tumtoe kimasomaso kaka/mdogo/mtoto wetu huyu siku ile anayoisubiri kwa hamu.
Michango hii ambayo JF members wameshatoa na wanaendelea kutoa ni kwa ajili ya ZAWADI SPESHELI for Geoff and his wife ambayo sitaweza kudisclose kwa sasa.
For further info please do PM me and I will get back to you ASP.
Thanks!!!
JS and the Team