Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,425
- 17,887
Unaposema unaongeza thamani sijui unamaanisha nini. Kwa sababu michele inayotoka mikoani inakuja kwa grade tofauti. Kila grade inamlengwa wake. Kwa mfano mchele wa kawaida unaliwa zaidi uswahilini. Na bei yake ni ya chini. Ule wa grade ya kwanza ambao tunauita super unaliwa na watu wa chache wenye kipato kikubwa. Kama unataka kufanya biashara fungua ofisi, fanya kautafiti kadogo kuangalia ni mchele wa aina gani unaliwa zaidi eneo ulilofungua ofisi.ingia shamba (mikoani) fanya manunuzi. Peleka mzigo sokoni....