Programu ya kilimo na ufugaji

Sitta yagodoka

New Member
Sep 15, 2021
4
2
AGROCENTRE ni programu ya kilimo na ufugaji ambayo inamwezesha mtumiaji kupata masoko na na elimu kulingana na sehemu anayoishi.ni programu ya ambayo ilitengenezwa na mwanafunzi wa chuo kikuu cha dar es salaam (mlimani compus ) mwaka 2020 kutoka idara ya fizikia.programu hii ina vitu kama vifuatavyo

REGESTRATION:hapa utaweza kujaza taarifa zako kama una duka la kilimo au mtaalam wa kilimo unashauliwa kuandika jina lako na sehemu unayoishi ili uweze kuonekana kwenye near you-agrovets

SOCIAL VIDEOS: hapa mtumiaji anaweza kuposti video za magojwa ya wanyama na mimea,kuposti mzigo kama unataka uingie sokoni af watu wakiweka near you -crops cultivation wataweza kuona mzigo hasa walioko karbu na eneo ulipo na kuepuka garama za usafilishaji pia kuna kategori mbali mbali kama entertainment.

SOCIETY SKILL: maarifa ya jamii hili ni jukwaaa ambalo mtumiaji anauliza swali na kisha kujibiwa na watu wengine kuna kategori mbambali pia.

USER FINDER:hapa unaweza kumtafuta mtumiaji mwigne kuligana na umbali aliopo ,umri na jinsia.
 
Umeandika tuu tunawapataje?
 
Back
Top Bottom