Programming trainer

Programming trainer

Kila mwamba ngoma huvutia upande wake. Bila shaka ana sababu ya kuanza na c++. Ungemuuliza lengo lake hasa anataka kuwa base wapi huenda angekwambia.
Mimi nimejifunza python, php na java kidogo mwaka huu.
Ila nimeweka mkazo kwenye python, leo nlikuwa najifunza kuconnect web forms na python code zangu maana nilikuwa natumia tkinter kwa ajili ya UI ila ni pasua kichwa na UI zake mbovu mbovu sasa nimeona ni deal na web based UI naiconnect na python codes kupitia Flask framework.
Yaani nipo huku nje nasoma ninasoma Masters in Industrial Engineering and Management hatufundishwi Mechanical Engineering and Production Planning tu. Tunakaziwa Software development and Accounting and Finance. Huku viwandani mitambo yote ya uzalishaji(production) inatumia python kuwa programmed. Nakubaliana na wewe kwa asilimia mia moja inategemea na field na profession mtu anataka kufanya katika maisha yake. Mimi ninachokazia kuwa miaka kumi ijayo mitambo mingi itakuwa na complicated sensors ambazo zitakuwa programmed na python.
 
Hio mitambo iakuwa na AI. AI atakuwa intergrated na kila kitu. Tumia hio fursa kujifunza hiw to intergraye AI in everything. Ukirudi huku bila kujua AI kwa kina basi hio nafasi utakuwa hujaitendea haki. Tunategemea mrudi mtuhawilishe ujuzi.
 
Back
Top Bottom