MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,287
- 13,705
uko na files mbili moja iko na letters A,B,C,D na Another one iko na letters E,F,G,H ,make third file that contains A,B,C,D,E,F,G,H
Kwa nini unaona hilo swali lako ni gumu? Hicho ni kitu "BASIC" sana na sidhani una sabau ya kukileta kwenye ukumbi kama huu amabo watu wanasema ni wa "GREAT THINKERS"
Table1:[A,B,C,D]
Table2:[E,F,G,H]
Table3:[]
int i,j;
i=0;
For i=1 to 4
Copy Table1 to Table3[j]
i++;
j++;
For i=5 to 8
Copy Table2 to Table3[j]
i++;
j++;
End
Else
printf("page load error");
Hahahahhha i luv myself!!!!
What will be the output of the program?open two files, make two lists and concatenate them write back to third file.
Next time don't bring useless quiz!
I hope no kid is around and hence wasting our precious time!
:A S 39:
Time is money.Concept ya hiyo ni mambo ya file na utatumia "append" to a file that way data zitaongezwa na zilizopo zitabaki.Wala si array,array na file ni vitu viwili tofauti.Tengeneza file la tatu copy data za file la kwanza,then append data za file la pili.
Kama unatumi C language function ni fprintf() ( f ya kwanza ni pointer ya file) na si printf() utatumia kama unataka kuandika kwenye file.
Asante kwa ku mujibu...yani...open two files, make two lists and concatenate them write back to third file.
Next time don't bring useless quiz!
I hope no kid is around and hence wasting our precious time!
:A S 39:
Hey! Why don't you give your assignments to kids learning programming. We don't do that here.guys why c/c++ is precious? Pointers ,multiple inheritance etc.so is just a quiz to keep u alive
a kid is a kid indeed! Brag boy brag!hahahaha humu ndani kuna ambasadors developer ,bora waliotry,mean programmers wamekimbilia kuandika arrays.pythoniast mmoja katumia list sio mbaya next time utakuwa guru.