Programmer karibuni hapa

Unaweza kuona ya kitoto ila ukiwa feald ndio utajuwa ni ya kitoto au ni ya kiume na utu uzima
Nikutibitishie dogo hiyo kazi ni ya kitoto mmno sema hujawa wazi inatakiwa ifanye kazi kwenye OS zipi lakini hata mtu mwenye kaujuzi kadogo ka PHP& MYSQL anaweza kuifanya
 
Mie nataka watu niajiri kwenye kampuni yangu so kama unaweza njoo ufanye kazi tuone nini unaweza fanya uzuri wa programming sio Civics mkuu
 
Kumbe jamaa wanalamika bure, ila hawakuja PM basi sawa.
Si unajuwa vijana wa bongo mkuu, kwanza mtu anakuja anakwambia mie najuwa interface tu na ndio alichoshiriki kwenye project ya chuo sasa najiuliza unawezaje lalamika hakuna ajira ilihali coz uliosoma ndio hivyo tena hujui chochote
 
Habarini za leo wadau,
Naomba kuwakaribisha hapa na kuwapa ajira endapo nitaridhika na namna ambavyo unaweza kufanya hivi vitu nitakavyouliza hapa.

1.Naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa kutengeneza system ambayo kama shule itakuwa inaratibu vizuri malipo ya wanafunzi kwa ulipaji wa ada na bila kupoteza kumbukumbu,
Lakini pia kuwepo na system ambayo kila fedha itakavyokuwa inatumika tunaweza ingiza kwenye system na kuhifadhi kama kumbukumbu na mwisho wa mwaka unaweza ukaprint taarifa nzima ya maingizo na mapato na matumizi.
2. Kuwepo na system ambayo itakuwa imebeba majina yote ya wanafunzi wote shulen na kila kidato na darasa na kila mwanafunzi kuwe na taarifa zake muhimu kama kitaaluma na maendeleo ya afya yake na tabia zake na katika mitihani yake yote matokeo ya jumla na tunawezaje pia kukonnect na namba za simu za wazazi wake matokeo yakitoka ukishamjazia kwenye data base yake automatically mzazi anapata matokeo ya mwanae kwenye simu yake na kama kuna ujumbe unamuhitaji mzazi kufika shulen au kumkumbushia den la ada au mchango wowote basi aupate huo ujumbe kwenye simu yake automatic .

Karibuni sana nikivutiwa na kujieleza kwako na kunielzea basi kazi ipo nitakupa ajira
Kiongoz hii system Mimi tayari ipo
 
Hii system ipo Ila kigezo Cha kujiajiliwa hapo mkuu changamoto

Pitia ni hii hapa
www.e-shule.com
www.novaterrasolutions.com
 
Back
Top Bottom