Ndama dume
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 858
- 1,480
- Thread starter
- #41
Unaweza kuona ya kitoto ila ukiwa feald ndio utajuwa ni ya kitoto au ni ya kiume na utu uzimaMbona kama kazi ya kitoto sana hiyo hasa hiyo namba 2
Unaweza kuona ya kitoto ila ukiwa feald ndio utajuwa ni ya kitoto au ni ya kiume na utu uzimaMbona kama kazi ya kitoto sana hiyo hasa hiyo namba 2
Nikutibitishie dogo hiyo kazi ni ya kitoto mmno sema hujawa wazi inatakiwa ifanye kazi kwenye OS zipi lakini hata mtu mwenye kaujuzi kadogo ka PHP& MYSQL anaweza kuifanyaUnaweza kuona ya kitoto ila ukiwa feald ndio utajuwa ni ya kitoto au ni ya kiume na utu uzima
Mie nataka watu niajiri kwenye kampuni yangu so kama unaweza njoo ufanye kazi tuone nini unaweza fanya uzuri wa programming sio Civics mkuuNikutibitishie dogo hiyo kazi ni ya kitoto mmno sema hujawa wazi inatakiwa ifanye kazi kwenye OS zipi lakini hata mtu mwenye kaujuzi kadogo ka PHP& MYSQL anaweza kuifanya
Dah!, Unamfahamu jamaa? Mbona unamwita dogo?Nikutibitishie dogo hiyo kazi ni ya kitoto
Hajijui mkuu msamehe bure maana mhhhDah!, Unamfahamu jamaa? Mbona unamwita dogo?
Si unajuwa vijana wa bongo mkuu, kwanza mtu anakuja anakwambia mie najuwa interface tu na ndio alichoshiriki kwenye project ya chuo sasa najiuliza unawezaje lalamika hakuna ajira ilihali coz uliosoma ndio hivyo tena hujui chochoteKumbe jamaa wanalamika bure, ila hawakuja PM basi sawa.
Kiongoz hii system Mimi tayari ipoHabarini za leo wadau,
Naomba kuwakaribisha hapa na kuwapa ajira endapo nitaridhika na namna ambavyo unaweza kufanya hivi vitu nitakavyouliza hapa.
1.Naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa kutengeneza system ambayo kama shule itakuwa inaratibu vizuri malipo ya wanafunzi kwa ulipaji wa ada na bila kupoteza kumbukumbu,
Lakini pia kuwepo na system ambayo kila fedha itakavyokuwa inatumika tunaweza ingiza kwenye system na kuhifadhi kama kumbukumbu na mwisho wa mwaka unaweza ukaprint taarifa nzima ya maingizo na mapato na matumizi.
2. Kuwepo na system ambayo itakuwa imebeba majina yote ya wanafunzi wote shulen na kila kidato na darasa na kila mwanafunzi kuwe na taarifa zake muhimu kama kitaaluma na maendeleo ya afya yake na tabia zake na katika mitihani yake yote matokeo ya jumla na tunawezaje pia kukonnect na namba za simu za wazazi wake matokeo yakitoka ukishamjazia kwenye data base yake automatically mzazi anapata matokeo ya mwanae kwenye simu yake na kama kuna ujumbe unamuhitaji mzazi kufika shulen au kumkumbushia den la ada au mchango wowote basi aupate huo ujumbe kwenye simu yake automatic .
Karibuni sana nikivutiwa na kujieleza kwako na kunielzea basi kazi ipo nitakupa ajira
Nataka mtu wa kuja kufanya kazi yaani nimwajiri mwenyewe sitaki system tuKiongoz hii system Mimi tayari ipo
Ooh hapo mkuu nimekupataNataka mtu wa kuja kufanya kazi yaani nimwajiri mwenyewe sitaki system tu
Ila ngoja nimpe dogo mmoja pande yupo vizur Sana mkielewana freshNataka mtu wa kuja kufanya kazi yaani nimwajiri mwenyewe sitaki system tu
Hii system ipo Ila kigezo Cha kujiajiliwa hapo mkuu changamotoHabarini za leo wadau,
Naomba kuwakaribisha hapa na kuwapa ajira endapo nitaridhika na namna ambavyo unaweza kufanya hivi vitu nitakavyouliza hapa.
1.Naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa kutengeneza system ambayo kama shule itakuwa inaratibu vizuri malipo ya wanafunzi kwa ulipaji wa ada na bila kupoteza kumbukumbu,
Lakini pia kuwepo na system ambayo kila fedha itakavyokuwa inatumika tunaweza ingiza kwenye system na kuhifadhi kama kumbukumbu na mwisho wa mwaka unaweza ukaprint taarifa nzima ya maingizo na mapato na matumizi.
2. Kuwepo na system ambayo itakuwa imebeba majina yote ya wanafunzi wote shulen na kila kidato na darasa na kila mwanafunzi kuwe na taarifa zake muhimu kama kitaaluma na maendeleo ya afya yake na tabia zake na katika mitihani yake yote matokeo ya jumla na tunawezaje pia kukonnect na namba za simu za wazazi wake matokeo yakitoka ukishamjazia kwenye data base yake automatically mzazi anapata matokeo ya mwanae kwenye simu yake na kama kuna ujumbe unamuhitaji mzazi kufika shulen au kumkumbushia den la ada au mchango wowote basi aupate huo ujumbe kwenye simu yake automatic .
Karibuni sana nikivutiwa na kujieleza kwako na kunielzea basi kazi ipo nitakupa ajira
Ok nami nahitaji mtu wa kumwajiri ili aje atengeneze system mkuu hii copy and paste kwangu ni ngumu kuipokeaHii system ipo Ila kigezo Cha kujiajiliwa hapo mkuu changamoto
Pitia ni hii hapa
www.e-shule.com
www.novaterrasolutions.com
Kaka nimekuelewa Sana nakupongeza lengo lako ni zuri Sana . Ngoja nimchek dogo akuchek private yupo vizurOk nami nahitaji mtu wa kumwajiri ili aje atengeneze system mkuu hii copy and paste kwangu ni ngumu kuipokea
Namba ngeni hupokei? Unakaushamba ka maishaLabda huenda namba zako nilifuta maana nikikaa na namba mwezi mmoja bila mawasiliano nafuta na namba ngeni huwa sipokei mkuu karibu tena
Hana hela huyu janja janja tunilikupigia sana hukuwa unapokea nami nikafuta namba
plan nyingi hamna kituHana hela huyu janja janja tu