Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,152
- 44,106
Hivi ni watu wangapi ambao wameshashawishiwa na hii Operesheni Zinduka?
Hivi ni watu wangapi ambao wameshashawishiwa na hii Operesheni Zinduka?
Hivi ni watu wangapi ambao wameshashawishiwa na hii Operesheni Zinduka?
hata hao anasema anajadiliana nao kwani bado "hawajaamua" watamchagua nani!100+ @ Whatsapp
Tutafanya tathmini baada ya matokeo ya uchaguzi kutangazwa.Hivi ni watu wangapi ambao wameshashawishiwa na hii Operesheni Zinduka?
Tunamchagua Magufuli hatuchagui ccmccm wapumzike. Inatosha.