Program Note: Operesheni Zinduka - 5 Oktoba 12

Tunatarajia hutaingia mitini na kujifanya huzioni nyuzi korofi kwako kama kawaida yako unapobanwa kwenye kona!
 
.... ... Kuna wengine tunawachomoa humo kwa sababu .. wanashindwa kujibu hoja hivyo tunawatimua tu. Hoja hujibiwa kwa hoja .....

.... dah, wanaposhindwa kujibu hoja kwa taste mnayotaka mnawatimua!
 

Hivyo vyeo mlivyoandaliwa na Dr Mihogo naona bado vinawatesa. Lkn tabaka kubwa unalojidai kuzindua hapa JF ni tabaka la watu wenye uelewa na misimamo yao. Wapo watu ambao ni CCM tu hata ufanyeje wanabaki kuwa hivyo; wapo watu wengine ambao ni ACT-WAZALENDO tu piga ua wanabaki ACT; wengine ni CHADEMA piga ua wanabaki kuwa hivyo; wapo wengine ambao walikuwa CHADEMA kwa sbb ya Dr Mihogo, hao nao walishaondoka naye. Hiyo ndio hali halisi! Kumbuka tu kuna maisha baada ya uchaguzi mkuu mkuu. Pia, kuhusu Dr Mihogo maji yalishwamwagika, hayawezi kuzoleka
 
Hivi ni watu wangapi ambao wameshashawishiwa na hii Operesheni Zinduka?
 
 

Lazima tuheshimiane. Hawawezi kututafuna miaka hamsini eti bado waje tuendelee kutafunwa na kuwapigia makofi. Mdumo wa ubwanyenye. Umangimeza sasa mwisho. Adabu iwepo.
 

Una mahaba wewe,Slaa alikua anakusanya watu zaidi ya hao tena bila kuwasomba
 
Ninashukuru sana kufahamu kama kuna Watanzania ambao wanachokisema wanamaanisha.

Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania.
 
Sikutegemea hili kutokea tena kwa Mwanakijiji. Tunaimba wimbo wa mabadiliko pamoja na hayo kumbe wengine wanaenda na biti walikua hawajui uelekeo. Uelekeo ni Lowasa ikulu mbele tembea
 
Hizo zote tisa,na tushazoe na kuuupuuza udaku kama huu pia jiiteni majina yote hata ya shetani hatuogopi kwani vibarua vyenu vitaisha pale ifikapo trh.25 tutakapo mzika huyu anaewatia kiburi,,na wananchi watasema buriani fisiem,,!
 
MMM Mgombea wenu Magufuli kawaacha solemba......
 

hayo ni mafuriko (sic)!

but that's a wee bit too little too late. Tanzanians have already decided to kick CCM out.
 

Watu wa Musoma sio Manyumbu. Labda wewe peke yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…