Profile ya Dr Slaa

Status
Not open for further replies.
Sasa anaehoji elimu inayotolewa na ST yuko ughaibuni au yupo Tanzania.

Ndo shule zinakuwaga nyingi top ten be it o level au a level na hao watu ata mtaani wako bright sana fuatilia bse below 5o wanakutimua ie from form 1 to 6.Ndo maana unakuta dalasa lina watu 32 na wote wanadiv one alafu wote ni Mzumbe au Ilboru.

Kipalapala/Segerea ni theology for 3 up to 4 years ila Kibosho na Ntungamo ni 3 years for philosophy.

Zamani kanisa lilikuwa likitoa ceertificates bse vijana walikuwa wanachapa mwendo hasa baada ya philosophy mtu anaenda anakamua Sheria fuatilia majudge wengi sipendi taja majina yao hasa pale mahakama kuu na court of appeal.Ila kwa sasa wanatoa degree as wamegundua hawa watu pia ni useful wakiwa kama Walei as wote hamuwezi kuwa mapadre.

So with 7 years ie philosophy plus theology leave alone kurudia mwaka sidhani kama unaitaji masters!
 
EDUCATION
International Eye H. Centre Certificate in Eye Health 1993-1993

TransWorld Tutorial College, London Certificate in Management 1985-1985

St. Thomas Aquinas University Advanced Diploma in Rural Development 1980-1981

St. Urban University, Rome PhD (JCD) Law 1977-1981 [Doctor of Canon Law (Latin: Juris Canonici Doctor or JCD)]

Kipalapala Seminary Certificate in Theology 1974-1977
Kibosho Seminary School Certificate in Philosophy 1972-1973

Itaga Seminary School A-Level Education 1970-1971
Dung'unyi Seminary School O-Level Education 1966-1969

Karatu Primary School Primary Education 1962-1965
Daudi Primary School Primary Education 1961-1961
Kwermusl Primary School (Mbulu) Primary Education 1958-1960

EMPLOYMENT HISTORY
Tanzania Society for Blind Managing Director 1992-1998
Tanzania Episcopal Conference Secretary General 1985-1991
Diocese of Mbulu Development Director 1982-1985
Diocese of Mbulu Vicar General 1982-1985
Diocese of Mbulu Development Director 1977-1979
Diocese of Mbulu - Roman Catholic Church Padre 1977-1991

POLITICAL EXPERIENCE

CHADEMA Principal Secretary 2002
CHADEMA Vice Chairman 1998 2002
CHADEMA Member of Parliament (Karatu Constituency) 1995 To date
CHADEMA Member of National Executive Committee 1995 -
Chama Cha Mapinduzi - CCM Secretary Foreign Branch (Rome) 1980 1982
Youth Union -TANU Secretary 1974 1977
TANU Chairman (Kipalapala Branch) 1974 1977

Retrieved on 13/7/2006 - www.parliament.go.tz
 
Siyo udoctorate wa kuchakachua kama wa ------, hebu tupia na CV ya mkuu wa nchi

Slaa ameanza kuitwa Dr. Tangu miaka ya themanini siyo hizi za miaka ya kuanzia 2000...... za kupewa kama mabua ya mahindi. soon nami nitapewa ya bure nilingane na watu fulani lakini haitafika kwa Dr. Slaa
 
Under grad na masters imekuwaje au mi ndio sijasoma vizuri???!!!

Mwenye uelewa mzuri juu ya Canon Law tafadhali!!!!!

Google helped; Kama vile ni mambo ya kikanisa zaid sasa sijui inavuka mipaka kiasi gani???!!!!!
Na Roman wana mambo yao hayo saa nyingine tofauti na mfumo wetu wa kawaida!!!!
 
cv nyepesi sana imejaa maswala ya dini.

Kuna watu wengine mnasoma lakini hamuelimiki, unajua maana ya Elimu? shule walizosoma hao wanaotusumbua sasa na kuiba pesa zetu siyo seminary, zenyewe siyo za dini? acha umbeya. Mpaka sasa elimu ya dini inanafasi kubwa. Elimika jamaa yangu
 
Mnao hangaika na elimu ya dk. Slaa mnajua ni nini kinasomwa ktk seminari nilizoziorodhesha hapa chini?

Kipalapala Seminary Certificate in Theology 1974-1977

Kibosho Seminary School Certificate in Philosophy 1972-1973


kwa kuwasaidia tu kwani naona hamuijui elimu ya seminari kuu. ukimaliza form 6 unaingia course ya mwaka 1 (certificate in philosophy). Then ukifaulu unaanza certificate in theology for 3 yrs na kwa mfumo wa seminary this is more than master degree.

Kwa hiyo kama unasoma ktk mfumo wa shule za kawaida ndo utakuta hizo masters n.k. na wapo mapadre waliosoma pia ktk mfumo wa shule za kawaida.

Kwa dk. Slaa hiyo ni system ya kiseminari kwa hiyo baada ya kusoma miaka 4 after A-level, you go straight to doctorate. Kama mtu anashaka na chuo alicho soma check kwenye mtandao ujiridhishe.



kwenye CANON LAW, KUNA MAMBO MENGI UNASOMA, KAMA CIVIL LAW, JURISPRUDENCE, TORT, CONTRACT,,,,,,,,, e.t.c

PHD YA JK ni ya nini???? AVIATION AU????
 
habar zenu wana jf. Leo nataka tujadili na tujionee CV ya rais wetu ajaye dr slaa. Huyu jamaa anafaa sana, lakin wengi wetu hatujui wala hatuelewi CV yake. Huku nikitambua kwamba JF ndio chanzo mahususi, cha taarifa mbali mbali za kitaifa na kimataifa. Jaman naomba tuweze kuichambua CV ya rais wetu ajaye dr slaa. Hii ni kwa watu walio serious tu, kama hujui unachokiandika ni bora uache. Nawasilisha.
 
Slaa alimaliza form four, akaenda kusomea PHD ya Upadri Vatican bila kuwa na degree wala masters!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom