Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,287
- 10,842
Wadauu nataka tuelewe kuwa Philosophy and Theology parts in priesthood are beyond masters level. Huwezi kushindana kwa uwezo na mapadre kwa kimaster chako cha pale mlimani au kwingineko. Isitoshe amesomea PhD ya mambo ya kanisa which is also the hardest part in academics. Dr Slaa ni msomi na hakuna wa kumpinga. Kumbuka PhD yake si honorary watu wanajikwalia tu na kichwani hakuna nondo. Honorary ni ya heshima tu, au kame vile wanakupa ukuu wa chuo halafu huna Doctorate then wanakupa ile ya heshima ili uweze kuwatunuku wahitimu wa udaktari wa falsafa.
hivi kule bungeni kuna maprofesa wangapi na hawathubutu hata kuchangia mijadala nyeti kule?? Au ndiyo wale wahitimu wa vyeti feki??? Tuwapambanishe Dr. Slaa na M. Mahanga (eti ya Darasani), J. Kikwete(hon), S. Malecela (hon.), D. Kamara (ya darasani) na wale wote ambao tulishawajadili hapa jamvini kwa utata wa PhD zao!!!!
Bottom line Dr. Slaa ni msomi na usomi wake unaonekana kwa vitendo. Leteni mada nyingine ya kumchafua nasi hii, mleta mada amepoteza mwelekeo.