Profile ya Dr Slaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Profile ya Dr Slaa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Barubaru, Dec 6, 2009.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  EDUCATION
  International Eye H. Centre Certificate in Eye Health 1993-1993

  TransWorld Tutorial College, London Certificate in Management 1985-1985

  St. Thomas Aquinas University Advanced Diploma in Rural Development 1980-1981

  St. Urban University, Rome PhD (JCD) Law 1977-1981 [Doctor of Canon Law (Latin: Juris Canonici Doctor or JCD)]

  Kipalapala Seminary Certificate in Theology 1974-1977
  Kibosho Seminary School Certificate in Philosophy 1972-1973

  Itaga Seminary School A-Level Education 1970-1971
  Dung'unyi Seminary School O-Level Education 1966-1969

  Karatu Primary School Primary Education 1962-1965
  Daudi Primary School Primary Education 1961-1961
  Kwermusl Primary School (Mbulu) Primary Education 1958-1960

  EMPLOYMENT HISTORY
  Tanzania Society for Blind Managing Director 1992-1998
  Tanzania Episcopal Conference Secretary General 1985-1991
  Diocese of Mbulu Development Director 1982-1985
  Diocese of Mbulu Vicar General 1982-1985
  Diocese of Mbulu Development Director 1977-1979
  Diocese of Mbulu - Roman Catholic Church Padre 1977-1991

  POLITICAL EXPERIENCE

  CHADEMA Principal Secretary 2002
  CHADEMA Vice Chairman 1998 2002
  CHADEMA Member of Parliament (Karatu Constituency) 1995 To date
  CHADEMA Member of National Executive Committee 1995 -
  Chama Cha Mapinduzi - CCM Secretary Foreign Branch (Rome) 1980 1982
  Youth Union -TANU Secretary 1974 1977
  TANU Chairman (Kipalapala Branch) 1974 1977

  Retrieved on 13/7/2006 - www.parliament.go.tz
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Mhhhhhhhhhhh.
   
 3. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #3
  Dec 6, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Labda wenzangu mnifafanulie kidogo kwa mtazamo wenu.

  1. Dr W Slaa anafaa kuitwa Doctor.
  wapi kafanya Post Graduate, Masters?

  2. najua bila kuna wengi sana humu wa CHADEMA labda wamfikishie ujumbe huu kuwa Utafiti wake katika PhD alifanya khusu nini?

  3.mnazionaje hizi degree za st.st.st?
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Dec 6, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280

  yaani,we acha tu,
  na ndie wanaesema anafaa kuwa rais wa nchi yetu,
  siku zinavyoongezeka,ndo nazidi kuwa na doubts nyingi
  kuhusu slaa.
   
 5. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #5
  Dec 6, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Amefanya utafiti kuhusu kanuni za kuongoza kanisa katoliki

  Utafiti mwingine ni kuhusu historia ya kanisa katoliki...
   
 6. M

  Mbunge wa CCM JF-Expert Member

  #6
  Dec 6, 2009
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acheni uzembe, Dr slaa ni dk kwelikweli.

  pekueni tovuti ya bunge, pale kuna cv ya kila mbunge, achana na hizi zinazorushwa hapa jamvini, si wote wanaotumia mtandao huu wana nia njema na kila mtu
   
 7. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #7
  Dec 6, 2009
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mgombea,

  Mtoa mada ametoa source ambayo ni tovuti ya bunge! na habari ndio hiyoo..

   
 8. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #8
  Dec 6, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Hii tumeitoa hapo.
  Retrieved on 13/7/2006 - www.parliament.go.tz
  sasa labda utueleze wapi kuna latest CV yake tuichambue.
   
 9. M

  Magezi JF-Expert Member

  #9
  Dec 6, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Vipi Jk......anafaa eh!
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Dec 6, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  two wrongs do not make it right.....
   
 11. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #11
  Dec 6, 2009
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Kuna mtu ana hoji Elimu ya Slaa ama kitu gani ?
  Naye yupo kwenye list ya kugushi vyeti au ni siasa tu ? Unadhani anaweza kupewa PhD kwa kumaliza Ntungamo ?
   
 12. M

  Magezi JF-Expert Member

  #12
  Dec 6, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Mnao hangaika na elimu ya dk. Slaa mnajua ni nini kinasomwa ktk seminari nilizoziorodhesha hapa chini?

  Kipalapala Seminary Certificate in Theology 1974-1977

  Kibosho Seminary School Certificate in Philosophy 1972-1973


  kwa kuwasaidia tu kwani naona hamuijui elimu ya seminari kuu. ukimaliza form 6 unaingia course ya mwaka 1 (certificate in philosophy). Then ukifaulu unaanza certificate in theology for 3 yrs na kwa mfumo wa seminary this is more than master degree.

  Kwa hiyo kama unasoma ktk mfumo wa shule za kawaida ndo utakuta hizo masters n.k. na wapo mapadre waliosoma pia ktk mfumo wa shule za kawaida.

  Kwa dk. Slaa hiyo ni system ya kiseminari kwa hiyo baada ya kusoma miaka 4 after A-level, you go straight to doctorate. Kama mtu anashaka na chuo alicho soma check kwenye mtandao ujiridhishe.


   
 13. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #13
  Dec 6, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  sio lazima ufanye masters.
  ukipata degree unaweza kuunganisha moja kwa moja kwenda kwenye PHD, ila kuna somo linalohusiana na kufanya research inabidi ufanye.
   
 14. MawazoMatatu

  MawazoMatatu JF-Expert Member

  #14
  Dec 6, 2009
  Joined: Sep 6, 2008
  Messages: 505
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu asante kwa ufafanuzi nakumbuka niliwahi kuhoji hili suala kwenye thread ya FMES ya Uchaguzi 2010. Ndio maana ya JF ni shule tosha!
   
 15. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #15
  Dec 6, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,610
  Likes Received: 3,911
  Trophy Points: 280
  sure,

  Kama professor Mwandosya
   
 16. I

  Interested Observer JF-Expert Member

  #16
  Dec 6, 2009
  Joined: Mar 27, 2006
  Messages: 1,402
  Likes Received: 434
  Trophy Points: 180
  There is a saying which goes: If you hate others then you haunt yourself both psycological and this affects the brain of the "hater". Theefore please love your friends and neighbours so that you can get longer life! Overall we live only once and too short!
   
 17. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #17
  Dec 6, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Mwenyewe ameandika kuwa Kipalapala na Kibosha amefanya Certificates.
  Ni vipi certificates zikawa sawa na Degree au Masters. hapa naomba ufafanuzi zaidi nijiridhishe.

  Na vipi ile Segerea Senior Seminary wanatoa nini kule?
   
 18. Z

  Zungu Pule JF-Expert Member

  #18
  Dec 6, 2009
  Joined: Mar 7, 2008
  Messages: 2,139
  Likes Received: 682
  Trophy Points: 280
  Yes. From certificate to PhD degree. This is another evidence if not proof of how smart the guy is. Kama unabisha, nenda ka-apply PhD kwa kutumia B.A/B.S diploma uliyonayo uone kama utapata admission. Only smart, alpha geeks can do that!
   
 19. M

  Magezi JF-Expert Member

  #19
  Dec 6, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Kipalapala na segerea seminary ni level moja ila kibosho ni seminary kuu sawa na ntungamo na ndiyo maana wale wanaotoka form 6 wakisha kubali kuendelea na upadre wananenda hapo for 1 year.

  Seminarini na kikanisa hatuna hiyo unyoiita masters unacho pata baada ya miaka 3 au 4 au 5 kulingana na ufaulu wako ni cheti tu. usisahahu supplementary zipo za kuua pale segerea na kipalapala.
   
 20. E

  Eddie JF-Expert Member

  #20
  Dec 6, 2009
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 516
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mnazungusha zungusha na kupaka rangi ili ipendeze lakiini hakuna kitu certificate will remain to be certificate tu.

  U Dr wa Slaa ni sawa na wa Dr Remmy, Dr Cheni, Nchimbi, Kamala, Nagu nk
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...