AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,084
shkamoo da ashadi
Marhaba Mpolee, mara ya mwisho nilkuuliza ulitumia kigezo kipi kuchagua jina la Mpolee ambalo naona kama lipo tofauti kidogo nawewe.... BTW nice profile...
shkamoo da ashadi
jfaglie shost weka na yako miwatu povu itoke zaid
Ukiwa hivi,mara nyingi utapenda uonekane
Afu wewe! PJ asiponipokelea salam yangu nakufuata hadi kwenu!!!Salam bila hela ya nini sasa?
Afu wewe! PJ asiponipokelea salam yangu nakufuata hadi kwenu!!!
Weka profile yako tuone kama ni matata!
Salamu zako nishazipokea SL.Kaka mie nakusalimu tu, nimepita hapa nikaona sio vema nkaondoka bila kukupa Hi....
Lol....kumbe!
Ukitaka kuachana na nzi, tupilia mbali utumbo.
hakuna profile kali kama ya AD acheni kubana...iam sure hata huyu mpoleeee hajawahi kuitembelea.
Ha ha ha! Umenkumbusha kuna mtu nilimuita "Kishoiya" kidogo antoe roho! Ila tuache utani jf siku hizi imevamiwa na "vishoiya" wengi...heheee kweti kuna mjeda getini mtarudi wenyewe...
hahaaa profile yangu nimshoiye nani hapa? I am past this age Miss lady!!!
Hebu iweke hadharani bana!..Ujanja sasa hivi kuanika mambo yako, mficha uch^i hazai!hakuna profile kali kama ya AD acheni kubana...iam sure hata huyu mpoleeee hajawahi kuitembelea.