Profile Matata ya JF!

DUh!!!
wapi kenge tuongee mambo yetu ya kikenge kenge!!
Tuachane na haya mambo ya kibata bata hapa.

Kenge dume........twende zetu tukamtafute Ritz na rejao tuongee mambo yetu ya Sihasa, ngoja nimpitie Bigirita kabisa!!!

hahaaa mwana umeshuka mistari ya kufa mtu ...
 
Wewe unayo kazi?
Njoo nshaiba hela tukale ngubiti na mabumunda kwa mama mchafuuu!
Sina mpendwa...lol. Nikukute wapi sasa? Hakikisha Gee hatufuati manake ana penda kuomba sana! Mie nimeiba ya kununua barafu za ukwaju.
 
Fanya haraka basi nkungojelea hapa kwa kina Njeree! Na wewe kesho zamu yako kununua visheti na barafu za ubuyu...

Hivi Gee, unazijua ngubiti wewe?
Kama amesoma st. Government lazima anazijua, ila kama kasoma Arusha school hazijui asee!
 
Fanya haraka basi nkungojelea hapa kwa kina Njeree! Na wewe kesho zamu yako kununua visheti na barafu za ubuyu...

Hivi Gee, unazijua ngubiti wewe?

Ngubiti sizijui mie mezowea half cakes...lol
 
hahahaaa SL mwache tuende naye, kwanza hela si zangu...lol

Gee wewe utakua wa ile shule ya kule Burka kwa wadhungu ...lol
Ngubiti ni goody goody ambazo ni homemade, kitu kinatengenezwa kwa sukari guru ya kuchemsha...lol!
Nikupe recipe?
 
Usisahau kumwambia kuwa haziliwi na watu wenye meno mabovu manake ni ngumu balaa!
 
hahahaaa SL mwache tuende naye, kwanza heka si zangu...lol

Gee wewe utakua wa ile shule ya kule Burka kwa wadhungu ...lol
Ngubiti ni goody goody ambazo ni homemade, kitu kinatengenezwa kwa sukari guru ya kuchemsha...lol!
Nikupe recipe?

Duh! Sante Bee...mi nimezowea kashata za chicha, hizo goody goody za sukari guru zimenipita

SL ananichawia namuona...hataki nifaidi hela yako
 
Ha ha ha! Kashata za chicha la nazi afu zimetiwa food colour....ukitafuna sana sukari inaisha unabaki na machicha yasiyokuwa na sukari lol... Sasa wewe hujaiba afu unataka kuja kula hela zetu? Labda na wewe uibe mchele na mafuta kwenu tuje tujipikilishe.. Mie ntaiba mkaa,

Bee wewe utapuliza moto.
 
mashallah vitu laini laini kashata za chicha, ufuta...eeeh!!
aisee ngubiti wee acha tu, Preta angekua hapa angenisaidia.
nilikuwa nikila baadae kichwa kinauma...lol
 
Ha ha ha! Kashata za chicha la nazi afu zimetiwa food colour....ukitafuna sana sukari inaisha unabaki na machicha yasiyokuwa na sukari lol... Sasa wewe hujaiba afu unataka kuja kula hela zetu? Labda na wewe uibe mchele na mafuta kwenu tuje tujipikilishe.. Mie ntaiba mkaa,

Bee wewe utapuliza moto.

ooh my.....nimecheka aisee daah, eti tujipikilishe!!!
mi ntapika bana halafu mwambie Gee aibe nyama kwao
 
Back
Top Bottom