Profile Matata ya JF!

Akili gani hii ya kuweka profile za watu hadharani?
Profile mtu anaingia kwa interest, na si page ya kuweka front desk!...
Naona wenye profiles wanabariki hilo!
 
Akili gani hii ya kuweka profile za watu hadharani?
Profile mtu anaingia kwa interest, na si page ya kuweka front desk!...
Naona wenye profiles wanabariki hilo!

sina shida mkuu..
kwani tangu lini profile ni siri?
kila mtu hata visitor tu anaweza kuona..
 
Mpolee dearest... Nimetuma abusr Report... Naomba usitoe infor yangu yoyote hata kama ipo profile bila kuniarifu...
 
Akili gani hii ya kuweka profile za watu hadharani?
Profile mtu anaingia kwa interest, na si page ya kuweka front desk!...
Naona wenye profiles wanabariki hilo!

Kuna wengine huweka birthdays za watu hapa bila ya kuwaarifu wala hatujasikia lawama, iwe public profiles!
 
DUh!!!
wapi kenge tuongee mambo yetu ya kikenge kenge!!
Tuachane na haya mambo ya kibata bata hapa.

Kenge dume........twende zetu tukamtafute Ritz na rejao tuongee mambo yetu ya Sihasa, ngoja nimpitie Bigirita kabisa!!!
 
Nafikiri ni mapenzi ya Mtu.... Ataetaka kuiona anitembelee badala ya kufanya hata wasiotaka wasumbuke... No harm intended Ivuga.
Pole wifi langu....kiukweli sio busara bana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…