Profile la kijana mkataa ndoa

ukiwa ndoani takatifu hupati magonjwa na wala hupotezi pesa kwani hununui...
hahahahahahaha

huyo kiumbe yupo hapo kutafuna pesa zangu, PHUCK NO

pesa ya Mahari nanunua 20mx20m plot Dondwe, natafuta kibanda cha pili
 
Napiga zangu najikausha Kama sio Mimi natoka nje wanawake wote naona Ni Kama wanaume tu , Mara moja moja napiga show ya kufanya mtu Tena mashine inakaa wima lisaa kesho yake najichua
 
mara ya mwisho ilikua Dec 2020

sikuona umuhimu zaidi ya kupoteza pesa, na kuji risk kwenye magonjwa uchwara

ME wakigundua maajabu yaliyo kwenye BabyCare nakuapia, soko lenu linayeyuka
yaani wanaume hawajawahi kupiga punyeto hata mara moja ndio unamaanisha?

Nina uhakika hujawahi kufanya bwana.....yaani sex nzuri uone kupoteza pesa na kujirisk? si uoe kama unaona huko nje ni kupoteza pesa na kuji risk magonjwa uchwara?
 
Wengi wanaokataa ndoa ni mashoga sasa unategemea shoga akubali ndoa kweli
 
yaani wanaume hawajawahi kupiga punyeto hata mara moja ndio unamaanisha????

Nina uhakika hujawahi kufanya bwana.....yaani sex nzuri uone kupoteza pesa na kujirisk??si uoe kama unaona huko nje ni kupoteza pesa na kuji risk magonjwa uchwara?
Nioe nipoteze pesa zaidi ?

Nakazia Tena, pesa ya Mahari natafuta 20mx20m plot Dondwe naongeza kibanda cha pili
 
We nawe zile sio picha zao bila shaka alifosiwa tuu au we huoni ?
Bhna nyingi kampost mkew kama nne ni huzuni picha hazina quality blue sio blue njano sio njano na mwenyew na pensi lake taasisi kubwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yote kheri sio Kwa maguni ya vitenge Yale ameshona solo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kama anaenda kwenye kipaimara
 
Umeanza lini kuwa Afisa mpelelezi ?
 
Heri Yangu Mie Kuliko Anayepoteza Pesa Kununua na Kufuga Binadamu
Ningependa kujua familia yako ikoje, i mean wewe umetokea kwenye familia ya ndoa ya baba na mama au na wewe ni zao la broken marriage??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…