Profile la kijana mkataa ndoa

Kwa hio ili mapenzi yaendelee unatakiwa upewe pesa na wewe unatoa Nini? Em Leta sababu za muhimu za kuoa huna hata sababu ya maana
 
Kabla ya kuolewa mnakuwa kama malaika mkiingia ndani ya ndoa mnaota mapembe.

Mnaanza ule msemo wenu kama mume ni kichwa basi mimi mke shingo ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Ujumbe uwafikie
Kwa hili kwa kweli tunyooshwe! Jamii inahitaji kupona.

Kuna wanawake wenzetu ni manyoka sana tumewaona na tumewashuhudia, walaghai, manipulator na washirikina pia.

Hivi mi niulize nyie wakuu, inakuwaje mke anataka umiliki wa pesa zote za mume halafu yeye anafanya kumpa mumewe kidogo kidogo, eti hela ya mafuta, sijui ya kula, sijui ya ninini. Mazungumzo yao yanakuwa yalianzia wapi? kwamba yeye alimuona mumewe hana akili ya kutunza pesa hadi aamue kumtunzia? ๐Ÿ˜‚ kuna mambo ukifikiria vizuri ni utapeli jamani.

Wenyewe wanajifanya huyu ndio muhasibu wangu, seriously! Hata kama mmekubaliana hili bwana halijakaa sawa, mi nakataa kwa nguvu zote. Wewe ufanye kazi ila usiweze kuwa na access hata na kadi yako ya ATM.

Nimeyaona haya kwa kakangu jamani nimesikitika sana, kuna siku mimi nasafiri kurudi mkoani kwangu, akaniletea mtoto wake nisafiri nae nimpeleke kwa bibi ake, akanikabidhi mtoto halafu akaniomba pesa kidogo ya mafuta, nikamuuliza huu ni mwanzo wa mwezi iweje usiwe na pesa hata ya mafuta? Akajiuma uma hapo mi nikampa 30k. Tukaachana. Nilijisikia kuwa kaka yangu anadhalilika sana hapo masikini ukute wala alikuwa hahitaji pesa ya mafuta bali analikua anahitaji pesa ya kitu chake kingine kabisa.

Kuja kupewa mkanda, kumbe amekabidhi kadi kwa mkewe, kwa sababu zipi mimi sijui ๐Ÿ˜‚

Haya mambo haya! ukiamua kutetea ujinga, ujinga unaweza mkumba mtu wako wa karibu ndio utajua hujui.

Wanawake badilike aisee acheni utapeli na ungedere kwa sauti ya Robert Heriel.
 
sihitaji msaada wowote , napiga nyeto mara 3 mpaka 4 kwa siku
kuhusu muda wa kazi, mie ni mtu wa site, napiga mshindo kijiji, narudi town miguu juu ya meza, sitoi hata senti tano kukojoa
Sawa, unaandika as if unanikomesha mimi . ๐Ÿ˜‚

Mimi siuzi utamu mkuu unanionea bure, i'm just a concerned fella!
 
Kwani si tulishakubaliana kataa ndoa wote ni mashoga

Mwanaume halisi huwezi ukakaa unapiga kelele "kataa ndoa" tena unamwambia mwanaume mwenzio unamaanisha nini!!!
Dawa ni kuwaasa wanandoa wasichepuke na wadada ambao hawajaolewa wasitoe michezo kwa kigezo hadi waolewe,na wakiewa waishi katika viapo vyao,kutochepuka ikiwa included.

Lakini hii ya watu wanaoana, lakini kuchepuka inakua kawaida,na inafikia hadi kumzalia mchepuko kisirisiri, huoni ndiyo inayofanya watu waone ndoa siyo muhimu,na ni usanii tu?

Watu wanafikiri ambao hawataki ndoa,ni functionless,wakati haohao ndiyo wanaolala na wanandoa,sijui huo ufunctionless uko wapi? taasisi ya ndoa imekua na changamoto sana.
 
Wewe ambaye unatoa biskuti siku za uchumba tu na sio ndoani ndio unapreach humu furaha? mkeo anaijua furaha?

Eti kila siku ni Valentine,how kama umesema clearly upendo unaonyeshwa kwenye uchumba na sio ndoani,hio kila siku ni Valentine inatokea wapi kwa wanandoa?

Siku moja kwa mwaka ni ukumbusho tuu, kwa wanaopendana wanapeana zawadi every day nimekuchomekea sababu nilitaka kujua hata ukikumbushwa leo ni siku ya wapendanao unafanya nini kwa mkeo?
 
Men we are going through a lot
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ