unaendeshwa kwa mi hemko ya kipumbavu.okay .... wewe uliyeisoma si uiandike kama unaijua
wewe legacy yako ni ipi kwa maisha yako?
familia yako au umefanyia nini nchi yako?
Kabla ya kuandika kaa chini ujitafakari,
Kuna watuhumu jamvini wanatabia za wafuasi wa kibwetere wa uganda.... Ipo siku mtafunikwa kwenye shimo kwa kujiona mnataka kuikomboa tanzania..wakati wewe maisha yako hata ya kujikomboa hujafikia robo ya robo