Mafiningo
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 4,434
- 4,673
Na hii ilitupunguzia watalii kwa kiasi kukubali , ilileta panic kubwa kwa wananchiTFDA waliwah kutangaza mafuta ya mbegu za ubuyu yana madhara bila hata kuishirikisha WHO wala wizara ya afya
Na hii ilitupunguzia watalii kwa kiasi kukubali , ilileta panic kubwa kwa wananchiTFDA waliwah kutangaza mafuta ya mbegu za ubuyu yana madhara bila hata kuishirikisha WHO wala wizara ya afya
Mwenzio hana kibaruaHivi Dr.Mwele alikuwa anatangaza kuwa ZIKA ipo au alikuwa anatoa taarifa ya matokeo ya utafiti kuhusu ugonjwa wa ZIKA!!? Hivi matokeo ya utafiti mnataka akayatangaze Ummy Mwalimu!!?
Hayo mambo mengine ya kutangaza rasmi hao wanasiasa yangefuata baadae lkn kwanza taarifa ya kutalaamu lazima iwekwe public na watalaamu wenyewe na ndicho kilichofanyika...!!
Hivi kwa kutangaza ummy mwalimu kuwa ugonjwa wa ZIKA haupo ndo hautakuwepo kweli!? Yaani watalii ni muhimu kuliko sisi??
Mkuu Act inasema
Taarifa ya matokeo ya utafiti kuhusu ugonjwa wa ZIKA.......Hivi Dr.Mwele alikuwa anatangaza kuwa ZIKA ipo au alikuwa anatoa taarifa ya matokeo ya utafiti kuhusu ugonjwa wa ZIKA!!? Hivi matokeo ya utafiti mnataka akayatangaze Ummy Mwalimu!!?
Hayo mambo mengine ya kutangaza rasmi hao wanasiasa yangefuata baadae lkn kwanza taarifa ya kutalaamu lazima iwekwe public na watalaamu wenyewe na ndicho kilichofanyika...!!
Hivi kwa kutangaza ummy mwalimu kuwa ugonjwa wa ZIKA haupo ndo hautakuwepo kweli!? Yaani watalii ni muhimu kuliko sisi??
Hii me naona ni sawa na kuingia msalani kwa haja kubwa[emoji90] ikisindikizwa na ndogo afu unatoka uko smati safiii kumbe hujanawa hujasafisha makalio ss utegemee nn hapo..Hivi Dr.Mwele alikuwa anatangaza kuwa ZIKA ipo au alikuwa anatoa taarifa ya matokeo ya utafiti kuhusu ugonjwa wa ZIKA!!? Hivi matokeo ya utafiti mnataka akayatangaze Ummy Mwalimu!!?
Hayo mambo mengine ya kutangaza rasmi hao wanasiasa yangefuata baadae lkn kwanza taarifa ya kutalaamu lazima iwekwe public na watalaamu wenyewe na ndicho kilichofanyika...!!
Hivi kwa kutangaza ummy mwalimu kuwa ugonjwa wa ZIKA haupo ndo hautakuwepo kweli!? Yaani watalii ni muhimu kuliko sisi??
Unaijua REPOA?REPOA na hao Synovate sio taasisi ya serikali. Taasisis za serikali zina wasemaji wake!
Hebu tuwekeeni tujikumbushe jinsi dr. Mwele alivyotoa maelezo yakeNadhani upeo wako ni mdogo sana katika suala hili.
Ngoja nikupe ufafanuzi.
1/NIMR ndio chombo rasmi cha serikali katika kusimamia tafiti zote za Afya hapa Tanzania. Kipo chini ya wizara ya Afya Makao makuu, na kinajukumu la kuanzisha, kuendesha na kuhitimisha mwenendo wowote wa tafiti zote za Afya hapa Tanzania.
2/Ni kosa kubwa sana kwa taasisi yoyote kufanya tafiti za kisayansi na mwisho wa siku kutokutoa matokeo ya tafiti hizo au kuchelewesha kwa makusudi matokeo ya tafiti hizo au kupotosha kwa makusudi matokeo ya Tafiti hizo (Kitaalamu inaitwa Research Misconduct, na moja ya adhabu yake kimataifa ni kuzuia kabisa kwa taasisi husika kufanya utafiti tena).
3/Utafiti wa kisayansi ni mali ya jamii iliyohusika katika utafiti huo. Utafiti sio mali ya mtu au serikali. Sio jukumu la serikali au mtu binafsi kuamua kutoa au kutokutoa matokeo ya utafiti wa kisayansi uliokwisha kufanyika. Kuzuia au kuchelewesha kutoa matokeo ya utafiti wa kisayansi ni sawa na kuiba haki ya jamii.
4/Kuna tofauti kubwa sana kati ya Kutangaza matokeo ya utafiti uliokwisha kufanyika(Research Findings) na kutangaza mlipuko wa ugonjwa kwenye jamii(Epidemic).
Mkurugenzi wa NIMR alitangaza matokeo ya utafiti uliokwisha kufanyika na wala hakutangaza mlipuko wa Zika hapa Tanzania.
Tatizo lipo kwa SIZONJE akili yake ipo kwenye kutimua tu.Hiki walichokifanya serikali sasa ndio kinasababisha chaos. Serikali ilitakiwa ieleze kwa raia tofauti ya kugundulika kwa virusi na kuwepo kwa mlipuko wa ugonjwa wa Zika.
Dr Mwele hana tofauti na yule jamaa aliefukuzwa kwa kusema ukweli kuwa taasis za serikale kuweka fedha fixdeposit si vibaya ni ruksa.Dr Mwele is very clever na I do support kitendo alichokifanya ingawa madhara yake yamemuondoa kikatili kabisa kwenye ajira.
Kila mtu anafahamu mfumo mbovu wa nchi yetu wa kuto disclose crucial matters na muda mwingine huwa findings nyingine zinafichwa kabisa mwisho wa siku mambo yanabumbuluka inakuwa aibu kwa serikali.
Huwezi kuingiza politics kwenye issue sensitive kama za afya ya binadamu.
Mtafiti ndio anaetoa report ya utafiti wake.
Big up Dr Mwele.. U are and will always be the HERO na utabaki kwenye mioyo ya Watanzania wengi ambao huwa hawapewi taarifa za tafiti kama hizi na serikali yao.
Umeambiwa Ubuyu una madhara na ZIKA ipo tanganyika japo wanasena imezibitiwa..Tofautisha mbegu za ubuyu na ugonjwa wa zika.
Uwezo wa Prof.ni wa kitilia shaka
Swali gumu nipe mma kwanza[emoji27]Kwa hiyo name wale wa TMA watabiri wa hali ya hewa wanapokuwa na taarifa sahihi za kutokea kimbunga au mvua kubwa zenye kuhatarisha maisha yetu yawapaswa kumwambia waziri husika atangaze na sio kazi ya Dr. Kijazi kuuhabarisha umma?
Dawa ndo SIZONJE kutimuatimua tukatika hili Dr mwele kakosea...
cc Kitila Mkumbo
Huyu mpya dr. Wa mifugo je hajatoa kauli ya kukanusha kuwa ZIKO.. ZIKA haipo? Au anasubiria AMRI KUU YA SIZONJE[emoji83]Yaani upo sahihi kabisa. Mambo ya wataalamu waachiwe wataalamu tu, mambo ya wanasiasa yabakie kwa wanasiasa wenyewe.
Dr. Mwele Malecella alikuwa anatupa matokeo ya utafiti walioufanya(Jambo ambalo ni la kitaalamu), wadau wengine(ikiwemo serikali) ndio tungefuata hatua za kuchukua kulingana na matokeo ya tafiti hizo.
Nami bado najaribu kuwaza tu, je nini kitabadilika katika matokeo hayo hata baada ya Dr.Mwele Mallecela kufukuzwa kazi?
Katangaza kwasababu ndiye boss wa hao watafiti.Sasa huyo dr ndie alie fanya au Wafanyakazi katika kitengo cha utafiti.Kwa nini mmoja wa hao Wafanyakazi (researcher) asitangaze aliye tangaza dr Malecela?
Tofautisha mbegu za ubuyu na ugonjwa wa zika.
Uwezo wa Prof.ni wa kitilia shaka
[emoji81] [emoji81] [emoji81]TFDA waliwah kutangaza mafuta ya mbegu za ubuyu yana madhara bila hata kuishirikisha WHO wala wizara ya afya