Dada yetu FaizaFoxy huwa anawauliza huko shule mmeenda kusomea ujinga? Ina maana hamjui kuwa mapigano ya Mkwawa na wajerumani yalifanyika katika ngome ya Lugalo na Kalenga? Basi hata Hamjiulizi ile kambi ya Lugalo pale Dar jina lake limetokana na nini? Mimi si mwanahistoria lkn najua kuwa fort Lugalo ni pahali ambapo Mkwawa aliwapiga wajerumani. Khaa
Hii ngome ilikuwa Iringa ambapo katika miaka ya 1891 Mjerumani alipokea kipigo cha mbwa mwizi kutoka kwa Mkwawa. Mmezoea kukariri hamjazoea kushughulisha ubongo wenu ndio maana kila kitu mnaona siyo. Sasa kama hata hili la fort lugalo hujui, ndo utakuja kuijua historia iliyotaftiwa na Al alama Mohamedsaid?
Can you tell me where Lugaro Fort is?, a cup of water please!!
nataka kujua Lugaro fort ipo maeneo gani nchi hii, aliyeandika hivi ni mwanazuoni, mtaalam wa Historia Ilongailunga. wala si maneno yangu, ukishindwa kaa pembeni.
On the 17th august 1891 von zelewsky with his 320 soldiers was ambushed by mkwawa army in their fort at lugalo
Kijaa unaoneshaa tatizo lako ni kujuwa maana ya "fort". Fort ni ngome kwa Kiswahili na ngome si lazima iwe ya kuta.
yaani huyo Ilongailunga,pamoja na kutumia "synonyms english words" ili aonekana anajuwa kunyosha kingereza kumshinda prof.hirji,ukisoma unaona pumba nyingi halafu mchele mchache.:smile-big::smile-big:
English please - Matola
Kuandika kwenyewe shida kunakusumbuwa sembuse ndio ujuwe history?
teh teh teh, unavyomtetea mleta mada, gwiji la Historia anayeshindwa hata kujua ngome ya Mkwawa ilikuwa wapi na Wajerumani walikuwa wapi, huyo anakosa sifa automatically za ku-make a critique, hebu jisomee hapo chini alichoandika
"It was not Mkwawa with the support of
Abushiri who stormed German fort in Lugaro?
Was not Bwana Heri who organize his people
to fight aginst German? "
Hii ameipata wapi? Huu ni upuuzi.
On the 17th august 1891 von zelewsky with his 320 soldiers was ambushed by mkwawa army in their fort at lugalo
Punjab sikh may you support your case by providing a credible reference on support of Mkwawa from Abushiri or Bwana Heri? Eat well your evening parikaarThen you are out of sync GAUTAMA
you think mkwawa and all other heroes were fighting the germans in their home areas only?
It is shame calling yourself a historian, yet you don't even know relationship of Lugalo and the Mkwawa's victory of 1891
To help your rotten mind...Lugalo was an area where Von Zelewsky was attacked with his African Muslim askaris from the coast. ...
Mkwawa's fort was in Kalenga...it was called LIPULI...surrounded by a 13 km in diameter wall made by stonnes, tree logs and with askaris's towers...The surrounding of LIPULI fort with those materials was called LIRINGA hence the name Iringa which you know today.
It is a shame whenever you want to associate Mkwawa life with Islam..he wasn't a Muslim but his sons converted ro Islam later on. ...To help you..did you ever hear or read slave trade conducted in Iringa?
Associating Mkwawa with Abushiri or Bwana Heri is nothing short of sheer madness...please do us a favour by providing any credible reference to support your case
Mpaka u quote Habar yote
It is a shame calling yourself a historian, yet you don't even know relationship of Lugalo and the Mkwawa's victory of 1891
To help your rotten mind...Lugalo was an area where Von Zelewsky was attacked with his African Muslim askaris from the coast. located about 20 kilometres east of Iringa town...
Mkwawa's fort was in Kalenga about 30 kilometres west of Iringa meaning Kalenga and Lugalo are about 50 kilometers apart and this fort in Kalenga was called LIPULI...surrounded by a 13 km in diameter wall made by stonnes, tree logs and with askaris's towers...The surrounding of LIPULI fort with those materials was called LIRINGA hence the name Iringa which you know today.
It is a shame whenever you want to associate Mkwawa life with Islam..he wasn't a Muslim but his sons converted ro Islam later on. ...To help you..did you ever hear or read slave trade conducted in Iringa?
Associating Mkwawa with Abushiri or Bwana Heri is nothing short of sheer madness...please do us a favour by providing any credible reference to support your case
Ahahaha,kweli bwana halafu nataka niwaulize hawa waungwana,kwanin ukiwa mwisilamu kila saa unaonewa,unabaguliwa n.k?
Prof GAUTAMA.