Professor Geoffrey R. Mmari afariki Dunia.

Professor Geoffrey R. Mmari afariki Dunia.

Elimu ya hapa na pale yeye na Manu wake
Screenshot_20261012-055715_Adobe Acrobat.jpg

Diploma ya Education hii hapa, moja ya elimu ya hapa na pale
 
Aliipata Mwaka gani hiyo Diploma
Kuipata mwaka gani haina maana

Huo mwaka hawakuwa wanatoa digrii au advance diploma?

Miaka ya sasa watoto wanapata Div 1 na wanaenda kusoma certificate au diploma..

Je, yeye lilikuwa chaguo lake hilo kwenda kusoma diploma tena ya elimu? Huku wengine wakisoma Eng. Laws na Udaktari?

Alikuwa kilaza ambaye elimu haikumnufaisha zaidi ya kuajiriwa na kuishi katika utumwa wa ajira hata baada ya kustaafu utumishi wa umma.
 
Back
Top Bottom