Professor Geoffrey R. Mmari afariki Dunia.

Professor Geoffrey R. Mmari afariki Dunia.

Aliyewahi kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Geoffrey Mmari, amefariki dunia leo, Oktoba 11, 2026, katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, alikokuwa akipatiwa matibabu.

Wakati wa uhai wake, Profesa Mmari aliwahi pia kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Chuo Kikuu Huria cha Tanzania na TURDACO.

Taarifa zaidi kuhusu msiba huo zitatolewa kadri zitakavyopatikana.

Msiba uko nyumbani kwa marehemu, Masaki, Mtaa wa Mzinga Way, jijini Dar es Salaam.
R.I.P prof mmari 🌹
 
ulikuwa hausi boi wa kibosile gani ?
House boy gani huyo ..mimi nimeishi hapo mtaani kwa miaka 7 nimeanza shule ya msingi hapo, shule ya msingi oysterbay darasa la kwanza..... Hapo mtaani nawakumbuka majirani kama huyo Brigadier Ngonyani ..pia nawakumbuka Getrude Mongera walikuwa wanaishi hapo majirani.
 
Povu la nini
Haya basi ulikuwa mchunga ng'ombe au mfuga kuku wao, maana hayo maeneo hizo nyumba za vigae zote walikuwa wanauza maziwa na mayai ya kuku
 
Povu la nini
Haya basi ulikuwa mchunga ng'ombe au mfuga kuku wao, maana hayo maeneo hizo nyumba za vigae zote walikuwa wanauza maziwa na mayai ya kuku
Hii comment nilitoa hapa miaka miwili iliyopita soma utaona nimetaja nilicho sema leo na jina la huo mtaa
 
Attachments

  • Screenshot_20261012-060310_Gallery.jpg
    Screenshot_20261012-060310_Gallery.jpg
    116 KB · Views: 2
Back
Top Bottom