Professionals and amateurs (wajuzi na wanaridhaa)

Wajuzi wana maono wanaridhaa wana maoni
Wajuzi wana tafakari wanaridhaa wana tafsiri
Wajuzi wanatenda wanaridhaa wanatendewa
Wajuzi wana hadidu wanaridhaa wana hadaa
Wajuzi ni werevu wanaridhaa ni wajuaji
Wajuzi wana timamu wanaridhaa wana tashwishwi
Wajuzi wana tuo wanaridhaa wana tamaa
Sasa nakuelewa mkuu
 
Duh! Yaani ulishanipoteza kama sio uvumilivu niliokuwa nao wa kukusoma hadi mwisho ningekuhukumu vibaya! But nimekupata mwishoni kabisa. Pokea tano hapo ulipo japo sina uhakika kama leo upo mitaa ya kwa kopa au kwa Ally mapilau au biafra!
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji121] [emoji121] [emoji121] kilingeni Msata
 
Hii dunia imejaa wauaji... Na watu huua maranyingi tuu... Hata ulishawahi kuua na si maramoja..... Tatizo tulilo nalo huwa tunafikiri kukatisha pumzi ya mtu ndio kifo kibaya zaidi... Lakini daily tunaua kwa matendo maneno hata mawazo yetu.. Na kuna nyakati nyingi tu tumesaidia ama kusababisha vifo vya wengine
Hahaha mshana umekwepa maswali yangu, sijaona jibu hata moja.
 
Huwa siwatofautishi kati ya mwanasiasa na mwizi naona kama ni watoto wa baba mmoja
Siasa ni dhana ya kufikirika na imejengwa kwenye misingi hiyo, siasa hazina formula na hazina uhalisia... Kinachoniumiza sana ni pale wajuzi wanapokimbia taaluma zao zenye tija kwa taifa na kuamua kuwekeza kwenye siasa... Yaani wanageuka kuwa wanaridhaa.... Lakini ukiangalia kwa makini huwezi kuwalaumu sana siasa imepewa thamani na daraja la juu kuliko maarifa na ujuzi... Na kwakuwa kwa maono yetu mbilikimo mwisho wa siku kila mtu anaangalia anapata nini kwenye nini
Ridhaa imeipiku ujuzi
 
Nimekupata mkuu kwamfano mkemia mkuu sio
 
Hii dunia imejaa wauaji... Na watu huua maranyingi tuu... Hata ulishawahi kuua na si maramoja..... Tatizo tulilo nalo huwa tunafikiri kukatisha pumzi ya mtu ndio kifo kibaya zaidi... Lakini daily tunaua kwa matendo maneno hata mawazo yetu.. Na kuna nyakati nyingi tu tumesaidia ama kusababisha vifo vya wengine
Hapa ningependa kujua zaidi,kivipi? Kama itafaa ningeomba mifano labda ningeelewa zaidi
 
Tunashiriki mauaji kwa namna tofauti kutokana na vyakula tunavyokula... Kanuni ya survival of the fittest...
Tunashiriki mauaji kwa kutumia sumu na dawa mbalimbali
Tunashiriki mauaji kwa mawazo yetu.. Kutamani fulani afe.. Au kupanga mauaji kihisia tuu
Tunashiriki mauaji kwa matendo yetu kisiasa kijamii kimahusiano na hata kiimani
 
Back
Top Bottom