Ila Ichi Kilinge Ulininyima Fulsa Ya Kuudhuria Ufunguzi Wa Kilinge Mzee[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji121] [emoji121] [emoji121] kilingeni Msata
Ila Ile Chumvi Ya Uvinza Ni Moja Kati Ya Dawa Bora Uliyo Wai Niambie[emoji15] [emoji3] [emoji3] kuwa mpole
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji3] [emoji3] [emoji3] tutaongea kwenye mada husika au la pitia hapa a day in the Buddhist collegeIla Ile Chumvi Ya Uvinza Ni Moja Kati Ya Dawa Bora Uliyo Wai Niambie
By Ze Way Hii Elim Ulisomea Kwa Muda Gani?
Na Ni Vigezo Gani Wanaangalia Mpaka Usomee ?
Hahaha maswali yote jibu moja?! MhmmUtaliona jibu liko wazi kabisa
Mshana na zile amateur porn maana yake ni za wanaridhaa?Hii dunia imejaa wauaji... Na watu huua maranyingi tuu... Hata ulishawahi kuua na si maramoja..... Tatizo tulilo nalo huwa tunafikiri kukatisha pumzi ya mtu ndio kifo kibaya zaidi... Lakini daily tunaua kwa matendo maneno hata mawazo yetu.. Na kuna nyakati nyingi tu tumesaidia ama kusababisha vifo vya wengine
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji123] [emoji109] [emoji121]Napenda sana thread zako hasa mpangilio na unavotoa ufafanuzi mzur kila mara nkiziona natamani nisome ata hazchosh[emoji106] [emoji106] [emoji106]
Hebu ngoja nikazitizame kidogoYeah hazina ujuzi wala ufundi
Waletee mada ya nguvu ya kauli{kinywa} huumba ukisema kwa kumaanisha! hakuna uchawi nakilaumu kinywa changu kwa7bu kimemletea mtu balaa![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
mnanikumbusha marehemu Profesa Shaba.ili ufanye kazi mochwari akili yako inatakiwa iwe fyatu kidogo vinginevyo uwe na roho ngumu sana.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji85] [emoji85] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji121] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umenifikirisha jinsi ulivyozunguka na kuishia uzi wako! Nimeishia kucheka! Na hii nafikiri ni karibu dunia nzima, maana ufanyabiashara mkubwa au kucheza sinema na siasa ni wapi na wapi? Sembuse mkemia!