ni lazima mulewe ya kwamba habari yoyote ina upande wa pili hivyo basi ni lazima mvumilie habari ambazo haziwapendezi mbona mnapoongelea upupu wenu hatujibu mapigo kwa matusiwe Makupa unapenda kutukanwa, hata mimi sina mdomo mchafu lakini kuna wakati uwa najisikia kama nikushushie hayo makombora,
juzi ulikwenda kwenye post moja kuchafua hali ya hewa na hapa umeanza, hakuna hatakaye kuvumilia mpaka unakapomwambia makamba na msekwa hii kama imekushinda ndipo watu watakuhacha, na mwaka huu utaumia kichwa nunua panado za kutosha
Huyu jamaa ni kihiyo, ila anajitahidi sana kutumia elimu na maarifa ya wenzake kwa ajili ya kukuza chama chake.
Hamuoni kile chama chetu waislamu CUF kilikufa kutokana na Mwenyekiti wetu kutokutaka kuingiza wengine waje na mawazo mapya , kwenye hilo alichangia sisis waislamu kurudi nyuma hatua nyingine mia moja ndio maana leo tunaanza kuungana na wagalatia kwani hatuna pa kwenda.
Hawa jamaa ni wajanja sana , kwani walisemwa kluhusu ukatoliki wao sasa naona wameamua kujibu kwa kuingiza mwenzetu huko tena wakatafuta mwenye siasa kali ili aweze kuwabeba wakina Shekhe Bassale na wenzake sasa hapo tumeliwa , kama waislamu tusipojipanga sawasawa hawa jamaa wanamkakati mbaya dhidi yetu.
Kwani wamewaona kina Zitto sio waislamu wa kweli mpaka wamuongezee huyu?
Ama ndio kapewa kazi ya kujibu mapigo ya udini?
Wakiwa Tabora walisema kuwa CCM ndio wanaumiza waislamu kwani hawajawa tayari kuwatetea hivyo , Safari alisema kuwa yeye kaamua kuingia huko ili kwenda kusimamia maslahi ya waislamu ....sijui lakini ila hawa wakatoliki ni wajanja sana sana.

ni lazima mulewe ya kwamba habari yoyote ina upande wa pili hivyo basi ni lazima mvumilie habari ambazo haziwapendezi mbona mnapoongelea upupu wenu hatujibu mapigo kwa matusi
tatizo wewe umevamia jamvi kwa kasi ya ajabu sijuhi bado huko kwenye probation period kwenye hiyo ajira ya msekwa na makamba, si walisema watatubomoa kisayansi , kaa mkao kunyolewa sio muda wanakufukuza na utakuwa na stress ya kutusaliti watanzania, hivi una ndugu kijiji hapa tanzania? wapigie simu waulize ccm inachowafanya ndio utaelewa kwa nini watu hawana huruma na mtu kama wewe hapa jamvini?
mimi nakishukuru chama chama magamba kwa jambo moja tu,
kutumia vijana wajinga wajinga kujiosha katika jamii, matokeo yake ndio mnachafua kabisa
ni lazima mulewe ya kwamba habari yoyote ina upande wa pili hivyo basi ni lazima mvumilie habari ambazo haziwapendezi mbona mnapoongelea upupu wenu hatujibu mapigo kwa matusi
ni vizuri ukaelewa kwamba hili jamvi ni huru kwa mtu yoyote kutoa maoni na siku zote maoni hayawezi kufanana hata siku moja na kibaya zaidi imeanza kujengeka zana kwamba wana cdm hawana ustaarabutatizo wewe umevamia jamvi kwa kasi ya ajabu sijuhi bado huko kwenye probation period kwenye hiyo ajira ya msekwa na makamba, si walisema watatubomoa kisayansi , kaa mkao kunyolewa sio muda wanakufukuza na utakuwa na stress ya kutusaliti watanzania, hivi una ndugu kijiji hapa tanzania? wapigie simu waulize ccm inachowafanya ndio utaelewa kwa nini watu hawana huruma na mtu kama wewe hapa jamvini?
mimi nakishukuru chama chama magamba kwa jambo moja tu,
kutumia vijana wajinga wajinga kujiosha katika jamii, matokeo yake ndio mnachafua kabisa
Sijaona kukurupuka alivyofanya Mbowe. Kuna wachezaji wengine wakisajiliwa hawahitaji kipindi cha mazoezi ili kuelewana na wachezaji wengine. Tunahitaji jahazi la kuvuka bahari ambako reli haifiki
Mtanikumbuka hili sio wazo zuri kabisaaa, Marando wiki moja akaingia kamati kuu, prof safari naye mnasahau hawa ni makachero na makachero hawaachi kazi kumtumikia bwana wao haya heri Mimi Sijasema
Inamaana CDM wanatakiwa watu ALELUYA tu! Fikiri kablaya kusema..Poa Mbowe, lakini Prof. Safari nae hana jipya kwenye ulimwengu wa modernization, lakini kwa kujenga chama sawa, kwani ni muhuni kidogo na anajua kukoroma, mara moja kutangaza TAKBIR!!!!
toLat inawezekana kabisa Maana shitambala angekuwa kachero asinge kimbia Yule alikuwa mamluki tu
Wakati mwingine kukurupuka is the best approach and enterprise hasa unapogundua umechelewa kuzinduka usingizini and now you are late and left with no time to dress up your bed.........
by the way Prof Safari anafahamika vizuri na history yake ipo kwenye viganja vya wanasiasa wanamapinduzi ndani ya Tanzania.......
Take out your worries unless otherwise "ajali ya kisiasa" ............teheeee
Na hili nalo neno 'kukurupuka' linaanza kushika kasi kwa kutumiwa vibaya.
</p>mods asanteni kwa kurudisha kitufe cha like ...... </p>
<p> </p>
<p>@Ben ... nimeshakugongea like
mtanikumbuka hili sio wazo zuri kabisaaa, marando wiki moja akaingia kamati kuu, prof safari naye mnasahau hawa ni makachero na makachero hawaachi kazi kumtumikia bwana wao haya heri mimi sijasema
sidhani kama matusi yanakujenga zaidi ya kuonyesha upeo wako kuwa ni mdogo kupita maelezo