Profesa Palamagamba akiwa field eneo la kazi

Profesa Palamagamba akiwa field eneo la kazi

Watu wasiomjua vizuri Prof huwa wanamchukulia poa sana. Jamaa yupo field ya sheria, lakini nje ya hiyo ni msanii, MC na mtaalamu wa lugha mzuri sana. Alipokuwa UDSM, matangazo ya Chuo yaliyokuwa yakitakiwa katika piblic, slikuwa anayahariri yeye. Lakini pia alikuwa akiendesha shughuli zenye wageni waandamizi wa serikali wakifika pale UDSM akiwa kama MC
 
Ipo wazi kapewa wizara ambayo haitomfanya aonekane mahiri kimkakati... pengine huyo mmama akishashinda uchaguzi 2025 sasa ndipo atampa wizara ya kaliba yake.
Kiongozi wenu anawaza uchaguzi na kuficha watu wanaoonesha kazi nzuri anataka makondoo, wajanja watamzidi kete nahivi elimu na ujuzi wake niduni ndo hajiaminiii!!
 
Huna akili,unamkana baba wa mtoto wako?
Wewe ndo huna akili… mwanaume anazaaje na mwanaume mwenzie? Halafu hiki unachoandika ndo kina reflect uhalisia wa vijana wa Lissu No wonder yule dada alipigwa kihuni namna ile mbele ya Heche!
 
Mzee kamsaliti Jaji Warioba sababu ya njaa. Leo anasema ati katiba tuliyonayo inaweza kabisa kutupatia maendeleo kwa sasa hatuhitaji mpya.
njaa mbaya nyie..!!
 
Wewe ndo huna akili… mwanaume anazaaje na mwanaume mwenzie? Halafu hiki unachoandika ndo kina reflect uhalisia wa vijana wa Lissu No wonder yule dada alipigwa kihuni namna ile mbele ya Heche!
Wewe ni Joyce Mukya
 
Back
Top Bottom