RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 3,662
- 6,906
Kumbe Tanzania sio Duniani no akhers!!?Maana ukisema Duniani na Tanzania no mojawapo!!ni jambo la kutia moyo sana na kufanya waTanzania kua jasiri zaidi katika kujitegemea duniani![]()
![]()

View attachment 3365674
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema kuwa licha ya hali ya uchumi duniani kuendelea kuyumba, Tanzania imeonyesha uimara kwa kuendelea kukuza uchumi wake kwa kasi na ustahimilivu wa hali ya juu.
Akitoa Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo kwa mwaka wa Fedha 2025/2026 bungeni jijini Dodoma leo, Alhamisi Juni 12, 2025, Profesa Mkumbo alisema mafanikio hayo yanatokana na usimamizi makini wa sera pamoja na mshikamano wa Watanzania katika kujenga uchumi wa Taifa.
“Nihitimishe kwa kulihakikishia Bunge lako tukufu kuwa hali ya uchumi wa nchi yetu kwa sasa ni himilivu, ukiwa na mwelekeo chanya na ukuaji endelevu. Kuimarika kwa uchumi kunatokana na usimamizi makini wa sera za uchumi jumla, pamoja na ushiriki wa wananchi wote katika ujenzi wa Taifa. Ninawashukuru na kuwapongeza Watanzania wote kwa mshikamano huu wa kizalendo,” amesema Profesa Mkumbo.
Profesa Mkumbo amebainisha kuwa licha ya changamoto za kiuchumi duniani, Tanzania imeendelea kuvutia wawekezaji na kutekeleza miradi mikubwa ya kimkakati katika sekta mbalimbali zikiwemo miundombinu, nishati, kilimo na afya -hatua ambazo zimechangia ustawi wa uchumi wa Taifa.

Profesa Mkumbo amebainisha kuwa licha ya changamoto za kiuchumi duniani, Tanzania imeendelea kuvutia wawekezaji na kutekeleza miradi mikubwa ya kimkakati katika sekta mbalimbali zikiwemo miundombinu, nishati, kilimo na afya -hatua ambazo zimechangia ustawi wa uchumi wa T🤣🤣🤣🤣🤣😭😭😭😭💩💩💩
Tuna bunge la hovyo mno,sidhani kama kuna nchi ya kutuzidi kwenye hiliView attachment 3365674
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema kuwa licha ya hali ya uchumi duniani kuendelea kuyumba, Tanzania imeonyesha uimara kwa kuendelea kukuza uchumi wake kwa kasi na ustahimilivu wa hali ya juu.
Akitoa Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo kwa mwaka wa Fedha 2025/2026 bungeni jijini Dodoma leo, Alhamisi Juni 12, 2025, Profesa Mkumbo alisema mafanikio hayo yanatokana na usimamizi makini wa sera pamoja na mshikamano wa Watanzania katika kujenga uchumi wa Taifa.
“Nihitimishe kwa kulihakikishia Bunge lako tukufu kuwa hali ya uchumi wa nchi yetu kwa sasa ni himilivu, ukiwa na mwelekeo chanya na ukuaji endelevu. Kuimarika kwa uchumi kunatokana na usimamizi makini wa sera za uchumi jumla, pamoja na ushiriki wa wananchi wote katika ujenzi wa Taifa. Ninawashukuru na kuwapongeza Watanzania wote kwa mshikamano huu wa kizalendo,” amesema Profesa Mkumbo.
Profesa Mkumbo amebainisha kuwa licha ya changamoto za kiuchumi duniani, Tanzania imeendelea kuvutia wawekezaji na kutekeleza miradi mikubwa ya kimkakati katika sekta mbalimbali zikiwemo miundombinu, nishati, kilimo na afya -hatua ambazo zimechangia ustawi wa uchumi wa Taifa.
unapotosha wadau madam,Prof Kitila ni rafiki yangu katika mambo mengi lakini katika hili la "unwarranted social constructionism" huwa tunatofautiana. Hakuna mtu mwenye mamlaka ya kutengeneza ukweli. Ukweli unagunduliwa. Sikubaliani na ugunduzi wake mara nyingi. Hapo tu tunapigana kisogo. Kwa sasa uchumi umesimama. Cash flow hakuna hasa huko vijijini. Simu za kuomba msaada kutoka vijijini kwenda mijini kwa ndugu, jamaa na marafiki zimeongezeka sana!
Nimesoma tu hapo juu sijamsikilizaView attachment 3365674
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema kuwa licha ya hali ya uchumi duniani kuendelea kuyumba, Tanzania imeonyesha uimara kwa kuendelea kukuza uchumi wake kwa kasi na ustahimilivu wa hali ya juu.
Akitoa Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo kwa mwaka wa Fedha 2025/2026 bungeni jijini Dodoma leo, Alhamisi Juni 12, 2025, Profesa Mkumbo alisema mafanikio hayo yanatokana na usimamizi makini wa sera pamoja na mshikamano wa Watanzania katika kujenga uchumi wa Taifa.
“Nihitimishe kwa kulihakikishia Bunge lako tukufu kuwa hali ya uchumi wa nchi yetu kwa sasa ni himilivu, ukiwa na mwelekeo chanya na ukuaji endelevu. Kuimarika kwa uchumi kunatokana na usimamizi makini wa sera za uchumi jumla, pamoja na ushiriki wa wananchi wote katika ujenzi wa Taifa. Ninawashukuru na kuwapongeza Watanzania wote kwa mshikamano huu wa kizalendo,” amesema Profesa Mkumbo.
Profesa Mkumbo amebainisha kuwa licha ya changamoto za kiuchumi duniani, Tanzania imeendelea kuvutia wawekezaji na kutekeleza miradi mikubwa ya kimkakati katika sekta mbalimbali zikiwemo miundombinu, nishati, kilimo na afya -hatua ambazo zimechangia ustawi wa Uchumi wa Taifa.
View attachment 3365674
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema kuwa licha ya hali ya uchumi duniani kuendelea kuyumba, Tanzania imeonyesha uimara kwa kuendelea kukuza uchumi wake kwa kasi na ustahimilivu wa hali ya juu.
Akitoa Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo kwa mwaka wa Fedha 2025/2026 bungeni jijini Dodoma leo, Alhamisi Juni 12, 2025, Profesa Mkumbo alisema mafanikio hayo yanatokana na usimamizi makini wa sera pamoja na mshikamano wa Watanzania katika kujenga uchumi wa Taifa.
“Nihitimishe kwa kulihakikishia Bunge lako tukufu kuwa hali ya uchumi wa nchi yetu kwa sasa ni himilivu, ukiwa na mwelekeo chanya na ukuaji endelevu. Kuimarika kwa uchumi kunatokana na usimamizi makini wa sera za uchumi jumla, pamoja na ushiriki wa wananchi wote katika ujenzi wa Taifa. Ninawashukuru na kuwapongeza Watanzania wote kwa mshikamano huu wa kizalendo,” amesema Profesa Mkumbo.
Profesa Mkumbo amebainisha kuwa licha ya changamoto za kiuchumi duniani, Tanzania imeendelea kuvutia wawekezaji na kutekeleza miradi mikubwa ya kimkakati katika sekta mbalimbali zikiwemo miundombinu, nishati, kilimo na afya -hatua ambazo zimechangia ustawi wa uchumi wa Taifa.
ni jambo la kutia moyo sana na kufanya waTanzania kua jasiri zaidi katika kujitegemea duniani![]()
![]()
Kwa hiyo Tanzania sio sehemu ya hiyo dunia ambayo uchumi wake unashuka?View attachment 3365674
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema kuwa licha ya hali ya uchumi duniani kuendelea kuyumba, Tanzania imeonyesha uimara kwa kuendelea kukuza uchumi wake kwa kasi na ustahimilivu wa hali ya juu.
Akitoa Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo kwa mwaka wa Fedha 2025/2026 bungeni jijini Dodoma leo, Alhamisi Juni 12, 2025, Profesa Mkumbo alisema mafanikio hayo yanatokana na usimamizi makini wa sera pamoja na mshikamano wa Watanzania katika kujenga uchumi wa Taifa.
“Nihitimishe kwa kulihakikishia Bunge lako tukufu kuwa hali ya uchumi wa nchi yetu kwa sasa ni himilivu, ukiwa na mwelekeo chanya na ukuaji endelevu. Kuimarika kwa uchumi kunatokana na usimamizi makini wa sera za uchumi jumla, pamoja na ushiriki wa wananchi wote katika ujenzi wa Taifa. Ninawashukuru na kuwapongeza Watanzania wote kwa mshikamano huu wa kizalendo,” amesema Profesa Mkumbo.
Profesa Mkumbo amebainisha kuwa licha ya changamoto za kiuchumi duniani, Tanzania imeendelea kuvutia wawekezaji na kutekeleza miradi mikubwa ya kimkakati katika sekta mbalimbali zikiwemo miundombinu, nishati, kilimo na afya -hatua ambazo zimechangia ustawi wa uchumi wa Taifa.
Tupo nje ya dunia, tunaelea kwenye dimbwi la ccmSasa sisi tupo wapi?😥😥
Umemsikiliza Samia leo,Kwa hiyo Tanzania sio sehemu ya hiyo dunia ambayo uchumi wake unashuka?
Stupid
Bibi kasema tunafanya vizuri, mwendasake yeye alisema sisi ni dona kantreee, yaani kila siku ni dramaUmemsikiliza Samia leo,
Amesema Tanzania uchumi wake unafanya vizuri kuliko ulaya na Marekani