cacico
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,362
- 7,800
the highest vapour ever! Ametumwa???profesa anafafanua umuhimu wa kujiunga na oic na umuhimu wa kubadilisha katiba kuruhusu zanzibar ijiunge na oic!
the highest vapour ever! Ametumwa???profesa anafafanua umuhimu wa kujiunga na oic na umuhimu wa kubadilisha katiba kuruhusu zanzibar ijiunge na oic!
Wapenzi wa Chadema msikizeni Profesa Lipumba huyu ndie Rais mtarajiwa bingwa wa uchumi!!
unaweza kumsikiza kupitia hapa:
MakutanoShow on USTREAM: Makutano na Fina Mango. Radio
Kwani Zanzibar sio Tanzania?
Ameulizwa swali kwa nini kila mwaka anagombea yeye kasema haamui mwenyewe ni wanachama ndio wanampendekeza lakini kama wakimsimamisha mwingine atamuunga mkono.
Profesa anaulizwa swali kuhusu CUF na serokali ya Mseto Zanzibar na profesa anajibu kwa ufasaha kabisa.
Serikali ijiunge na OIC!! ni faida kwa nchi nzima! wala hakuna sheria za kiislamu! Uganda sio nchi ya Kiislamu! hata Museveni ni Mkristo na yuko tayari kuja TZ kufafanua manufaa ya OIC!!!!
..hapana.
..Zanzibar ni nchi.
..tena wanatudhulumu sana wa-Tanganyika.
..juzi Dr.Bilali amepewa bilioni 32 kwa ajili ya ZNZ, sisi wa-Tanganyika tumetengewe 0 na ofisi yake.
..hivi unafikiri Maalimu akipata muda kama huu unafikiri atazungumzia shida za wa-Tanganyika??
Serikali ijiunge na OIC!! ni faida kwa nchi nzima! wala hakuna sheria za kiislamu! Uganda sio nchi ya Kiislamu! hata Museveni ni Mkristo na yuko tayari kuja TZ kufafanua manufaa ya OIC!!!!
Kwani lazima tuige ya uganda?So logic ya kujiunga na OIC kwake ni kwasababu jirani zetu wamejiunga basi nasi tufwate mkumbo! Hopeless
Kwani hatuwezi kupata maendeleo bila kujiunga oic?
Kwa nini ana ng'ang'ania?
Kadogoo,Wee unatoka nje ya mada kama unamaswali yako peleka ktk tume ya Katiba hapa tunasikiza live Profesa Lipumba usiharibu mada!
Kadogoo hichi ni kiswahili?
Serokali?
Hakuna shida wala tatizo kuiga jambo zuri kama lina faida kwa wananchi!
Ok kasema yepi mengine?
Ushauri wako wewe ni nini? ili tupate maendeleo?
Umeridhika na OIC!
Sasa anaeleza uchumi utakuwaje, umuhimu wa kilimo, maneno mengi tu kimsamiati na wala Serikali haitengi fedha kwa tija ya kilimo!