Profesa Lipumba live makutano Show!

Profesa Lipumba live makutano Show!

Hayo maswali yako ulitakiwa kumuuliza Profesa! lakini Mbona Edwad Lowasa akiwa ktk fundraising za Makanisa huwa hamsemi? by the way huna ushahidi kuhusu CUF kuchangia Radio Imani bali ni tuhuma tu! thibitisha!
Kadogoo,

..Lowassa anachangia misikiti pamoja na makanisa.

..huyu bwana ana matatizo yake lakini kwenye UDINI yuko very strategic.

..hukumuona alipotokea kwenye swala ya IDDI?

..hujamuona akichangia sekondari inayodhaminiwa na Mufti Sheikh Shaaban Simba??

..CUF kama chama cha kisiasa hawapaswi kuwabagua Waislamu baina ya wale wa Bakwata, na taasisi nyingine.

..lakini CUF pia hakipaswi kuwa karibu na watu wakorofi wanaoeneza CHUKI dhidi ya imani za wengine kama radio imaan, na gazeti la an nuur.

..pia ni unafiki kwa Prof.Lipumba kuwataja "vijana" wa jamii forums kuwa wamekosa uvumilivu wa kidini. kule radio imaan na an nuur nina hakika wale ni watu wazima kabisa, sasa kwanini hawakemei wale?

..kuna makundi ya Mashekhe na Wachungaji ambao wanaendesha mihadhara yenye kukashifu dini za wenzao. huko ndiko tulikoanzia na ndiyo kwenye mzizi wenyewe, jamii forums ni chombo kilichoanzishwa miaka ya karibuni tu.
 
Last edited by a moderator:
Toa ushahidi usibwabwaje tu!

Anayebwabwaja ni libumba, sorry lipunga sorry again, lipunda aah nimechoka kuandika sore nimesahau spelling za jina la huyu porofesa.
 
Umeona hilo tatizo?
Kila wakati anasema hawa wenzetu......akimaanisha wakristo.
Ameshindwa kabisa kujipambanua kama mtanzania na mwanasiasa.
Anajipambanua kama mwislamu mwanasiasa.

This is crazy for a person of his callibre.

Hapo kwenye red ndipo tatizo kuu la CUF lilipo; ni chama cha kutetea kundi fulani katika jamii kuliko mengine hata mfumo wao wa uongozi ndivyo ulivyo. Ni chama cha ajabu hakuna mfano na Profesa amethibitisha hilo pasi na shaka yoyote.

Halafu tungekuwa na waandishi wenye weledi wa kutosha hapo palikuwa na hoja nyingi sana za Lipumba kujibu. Labda kwenye uchumi, ila kwa siasa, Lipumba akubali tu ameshindwa na nyakati zake zimepita.
 
Hizo ni chuki zenu tu na ubaguzi mlionao wana Chadema, Profesa Lipumba amejibu maswali yenu yote mlizomtumia mwandishi huyo wa radio lakini mnaonekana sasa kufichua hisia zenu za kidini dhidi ya Mwanasiasa huyu aliebobea kiuchumi! Lipumba ni mwanasiasa na anahaki ya kumtetea yeyote yule anaonekana kudhulumiwa!

Sasa tunamtaka Kiongozi wenu wa CHADEMA Slaa kama ana ubavu nae aje ktk vyombo vya habari na tunamaswali kemkem ya kumuuliza kama ifuatavyo:

Chadema kinahusishwa na Ukristo, Jee, Slaa anawaambiaje Waislamu kuhusu hilo?
CDM inamikakati gani ya kupunguza umaskini wa Wa TZ?
CDM iko tayari kuunda Serikali ya umoja wa kitaifa pindi wakishinda uchaguzi kwa asilimia ndogo?
CDM kinamikakati gani ya kutoa haki sawa kwa wote ikishinda uchaguzi?
Yeye Slaa yuko tayari kutogombea Urais kwa sababu amehusishwa na kashfa nyingi za kimaadili? na kumwachia candidate mwingine aliyekijana, msomi, mahiri na msafi kimaadili?
Waislamu wanamadai ya msingi kabisa, jee, CDM wako tayari kupokea madai yao na kuingia mkataba ili kuzoa kura zao 2015?

Naomba wengine watayarishe maswali mengine:
 
Kadogoo,

..kwa kweli wasikilizaji did not come out with any new information kuhusu CUF, au Prof.Lipumba.

..mwendesha kipindi alijaribu kidogo alipouliza kuhusu muungano. kwa kweli hata mimi mapigo ya moyo yalianza kwenda mbio. Prof amedai CUF wanataka serikali 3 ila wanachama wa CUF wanaruhusiwa kutoa maoni yao. Tatizo ni kwamba mmoja wa wanachama hao ni MAALIM SEIF SHARRIF HAMAD na ametoa maoni tofauti na msimamo wa chama.

..kwa kifupi ni kwamba mwendesha kipindi alishindwa kuuliza FOLLOW UP QUESTIONS kutokana na majibu ya Prof kuhusu muungano.

..maswali yako uliyopendekeza aulizwe Dr.Slaa yanafaa sana. mimi napenda maswali makubwa kwasababu yanampa nafasi mwanasiasa kujijenga au kujibomoa.

NB:

..hivi una habari kwamba mwaka 1995 Prof.Lipumba alikuwa na kashfa ya kimaadili ya kuvunja ndoa na kutorosha mke wa mtu? tena CCM walikuwa wanatumia kashfa hiyo wakidai kwamba Prof si Muislamu safi kwasababu mwanamke aliyekuwa akijihusisha naye alikuwa Mkristo.
 
Si kweli, kashfa waliyokuja nayo CCM walidai Lipumba hakuwa na mke! na hiyo haikuwa kweli!
Lakini kashfa za Mzee Slaa ziko mahakamani na kesi inaendelea! unataka nini tena?
 
Kadogoo,

..kashfa ya Prof.Lipumba ilikuwa ni kuvunja ndoa ya watu.

..tena mwanamama aliyekuwa akijihusisha naye ni Mkristo na Mchaga, combination ambayo wana CUF kindakindaki hawaipendi kabisa.

..dont waste ur time kubishania suala hili kwasababu nina uhakika nalo.

..YES, suala la Dr.Slaa liko mahakamani.

..lakini, Slaa na Josephine wameishi pamoja kwa kipindi ambacho jamhuri/mahakama inapaswa kuwatambua kama mke na mume.
 
Mimi nimekupa ushahidi wa kesi iliyoko mahakamani sasa wewe usi waste your time ushahidi wako uko wapi?
 
Kadogoo,

..sasa unataka nikuletee court transcripts za mwaka 1995?

..wewe waulize wana CUF wenzako kama mwaka 1995 Prof.Lipumba hakuwa na kashfa kama hii ya Dr.Slaa inayohusisha mwanamke Mkristo Mchaga.

..najua kwanini hili linakupa shida kulikubali kutokana na chuki zenu dhidi ya Wakristo na Wachaga. Lakini huyo ndiyo mwenyekiti wenu.
 
Mimi nakanusha Lipumba hakuwa na kashfa yoyote kwa sababu huna na wala hakuna ushahidi wa kuthibitisha hilo!
Jee, wewe unakubali Katibu wenu ana kashfa ya kuishi na mke wa mtu na huku ana mke wa ndoa kinyume na kanuni na sheria za kanisa lake?

Jee, huu si ni wakati muafaka wa kumshauri kuachia ngazi ili vijana ngangari kama ZK wachukue usukani?
Kama huna ushahidi wa kuthibitisha kashfa za Lipumba basi usione haya kukiri ili yaishe!
 
Back
Top Bottom