Professor Lipumba, anajitambua zaidi kwa uislam wake na si kwa utanzania kwanza. Hili ni tatizo mzigo mabegani mwake!!!!
Uteuzi wa rais uwe mpana zaidi usibaki kwa CCM tu na hata nikiteuliwa hakuna ubaya

Profesa anasema kuhusu jumuiya ya Afrika mashariki sisi bado hatujajiandaa ktk soko la pamoja! wenzetu wamejiandaa hasa na speed yetu ni ndogo kuhusu soko la pamoja!
Umeona hilo tatizo?
Kila wakati anasema hawa wenzetu......akimaanisha wakristo.
Ameshindwa kabisa kujipambanua kama mtanzania na mwanasiasa.
Anajipambanua kama mwislamu mwanasiasa.
This is crazy for a person of his callibre.

Profesa anasema Ni muhimu Wanadini waheshimiane hasa Jamii Forum waache matusi!!
Uko nje ya tz nn?watu walisafirishwa na walionekana kwenye coster zipatazo 15!
Si kweli kabisa wewe unampakazia na kumbambikizia asichosema Profesa! huna ushahidi heri unyamaze tu!
Kadogoo,
..Prof anaona yanayotokea jamii forums tu!!
..what about radio imaan na gazeti la annuur??
..tena makamu mwenyekiti wa CUF aliongoza fundraising ya radio imaan.
..nadhani Prof ameshindwa kuwa FAIR and BALANCED ktk kuwa-address wale wanaoeneza CHUKI za kidini.
NB:
..kwa kweli mahojiano hayo nayapa grade ya C-.
..hakuna kitu chochote kile kipya kilichopatikana.

Tatizo la Mkapa kumfukuza Lipumba Chuo kikuu!! 1995 ajabu!
Kadogoo,
..Prof anaona yanayotokea jamii forums tu!!
..what about radio imaan na gazeti la annuur??
..tena makamu mwenyekiti wa CUF aliongoza fundraising ya radio imaan.
..nadhani Prof ameshindwa kuwa FAIR and BALANCED ktk kuwa-address wale wanaoeneza CHUKI za kidini.
NB:
..kwa kweli mahojiano hayo nayapa grade ya C-.
..hakuna kitu chochote kile kipya kilichopatikana.
Hayo maswali yako ulitakiwa kumuuliza Profesa! lakini Mbona Edwad Lowasa akiwa ktk fundraising za Makanisa huwa hamsemi? by the way huna ushahidi kuhusu CUF kuchangia Radio Imani bali ni tuhuma tu! thibitisha!
Profesa anafafanua chanzo cha kuunda Mseto na ajabu Freeman Mbowe alihusika na uhamasishaji wa kuunda Serikali ya mseto! Chadema mpo?