Profesa Lipumba live makutano Show!

Profesa Lipumba live makutano Show!

Profesa amelaani makanisa kushambuliwa!
 
Proff ameshindwa kutaja masharti ya kujiunga na OIC, anatoa mifano ya Uganda tu kila akiulizwa.

Ameuliza kama katiba inaruhusu kujiunga, anasema hata katiba hairuhusu watu kupigwa na polisi lakini wanapigwa.....kwahiyo?!!?
 
Profesa analaani uvamizi wa Makanisa! na suala la Ponda na kuvunjwa Makanisa yasichanganywe kwani Ponda amekamatwa kwa kosa la ardhi!
 
ajibu kwanini alisafirisha watu kutoka dar kwenda arusha ili kujaza uwanja! aibu zake!

Nani alisafirishwa kutoka Dsm mpaka Arusha?,unao ushahidi au unapotosha tu?Hata uiseme vipi Chadema bado ipo mioyoni mwa waru.
 
Profesa analaani uvamizi wa Makanisa! na suala la Ponda na kuvunjwa Makanisa yasichanganywe kwani Ponda amekamatwa kwa kosa la ardhi!

Anatakiwa kulaani uvamizi wa kiwanja kilichokwishauzwa na kuharibu mali ya aliyeuziwa.
Huo nao ni uhuni tu sawa na kuvamia makanisa.
 
Kwani aliyeuza wakfu ni nani? Ni waliopewa dhamana ya mali hizo yakiwemo majengo na viwanja.alipaswa kufwata taratibu kurudisha mali hizo kama kweli hazikuuzwa kihalali na siyo kutresspass kwenye viwanja vya watu.kosa la ponda ni kumobilize watu kujichukulia sheria mikononi!
Madai ya Ponda ni kuuzwa kwa Wakfu za Waislamu lakini Serikali imedandia issue hiyo kwa kumkamata Ponda badala ya mahakama ya Ardhi!
Ponda anahaki ya dhamana!
 
Profesa anaelezea tatizo la kihistoria kwa Serikali kuvunja Jumuiya ya Waislamu na kuwaanzishia Bakwata! sasa Waislamu walikuwa na jumuiya yao iweje Serikali tena iingilie Waislamu na kuwaanzishia Bakwata? ambayo mpaka sasa Waislamu hawana Imani nayo!
 
Professor Lipumba, anajitambua zaidi kwa uislam wake na si kwa utanzania kwanza. Hili ni tatizo mzigo mabegani mwake!!!!
 
Profesa anasema Ni muhimu Wanadini waheshimiane hasa Jamii Forum waache matusi!!
 
Prof anasema mitandao ya Kijamii ikiwemo JF inaandika mambo ya kudharau dini za wengine anasema yanaharibu uhusiano mzuri wa Watanzania tulionao toka miaka ya zamani
 
Professor Lipumba, anajitambua zaidi kwa uislam wake na si kwa utanzania kwanza. Hili ni tatizo mzigo mabegani mwake!!!!

Toa ushahidi usibwabwaje tu!
 
Uko nje ya tz nn?watu walisafirishwa na walionekana kwenye coster zipatazo 15!
Nani alisafirishwa kutoka Dsm mpaka Arusha?,unao ushahidi au unapotosha tu?Hata uiseme vipi Chadema bado ipo mioyoni mwa waru.
 
Profesa anasema kuhusu jumuiya ya Afrika mashariki sisi bado hatujajiandaa ktk soko la pamoja! wenzetu wamejiandaa hasa na speed yetu ni ndogo kuhusu soko la pamoja!
 
Hiyo ni ishu ya kukaa mezani na kujadil na si kuhamasisha vurugu wala kutishia maisha viongozi wa bakwata!
Profesa anaelezea tatizo la kihistoria kwa Serikali kuvunja Jumuiya ya Waislamu na kuwaanzishia Bakwata! sasa Waislamu walikuwa na jumuiya yao iweje Serikali tena iingilie Waislamu na kuwaanzishia Bakwata? ambayo mpaka sasa Waislamu hawana Imani nayo!
 
Profesa anamalizia kuhusu James Mbatia kuteuliwa Mbunge!
 
anajibu kuhusu yeye kugombea na anasema yeye huwa wa mwisho kuchukua fomu! anasema Abdulahi wade alianza kugombea urais 1970 na kuja kuwa rais 2000! lakini kila mtu anahaki ya kugombea!!

Yeye bado hajaamua kwa sasa na anasubiri wakati!

Abdala wade yule rais kilaza?
 
Sawa hatujajiandaa,lakini nini kifanyike kurectify hilo kwani kukaa tukilalamika haitusaidii sanasana tunazidi kuachwa kwenye mataa!
Profesa anasema kuhusu jumuiya ya Afrika mashariki sisi bado hatujajiandaa ktk soko la pamoja! wenzetu wamejiandaa hasa na speed yetu ni ndogo kuhusu soko la pamoja!
 
Kwa hiyo amesema ana chukua hatua gani?
Je anajua kama dhamana anaweza kuzuiwa?

Madai ya Ponda ni kuuzwa kwa Wakfu za Waislamu lakini Serikali imedandia issue hiyo kwa kumkamata Ponda badala ya mahakama ya Ardhi!
Ponda anahaki ya dhamana!
 
Uteuzi wa rais uwe mpana zaidi usibaki kwa CCM tu na hata nikiteuliwa hakuna ubaya
 
Back
Top Bottom