Profesa Lipumba live makutano Show!

Profesa Lipumba live makutano Show!

Ameanza na elimu yake aaa huyu ni kiboko!!!
 
NCCR- mageuzi walikuwa na uchu wa madaraka!!
 
Tatizo la Mkapa kumfukuza Lipumba Chuo kikuu!! 1995 ajabu!
 
Profesa anaulizwa swali kuhusu CUF na serokali ya Mseto Zanzibar na profesa anajibu kwa ufasaha kabisa.
 
Mods hii mneipeleka kule kwenye thread ya fina mango ili tuweze kufuatilia vizuri majibu dhidi ya maswali yaliyoulizwa kule.
 
Profesa anafafanua chanzo cha kuunda Mseto na ajabu Freeman Mbowe alihusika na uhamasishaji wa kuunda Serikali ya mseto! Chadema mpo?
 
Profesa anaulizwa swali kuhusu CUF na serokali ya Mseto Zanzibar na profesa anajibu kwa ufasaha kabisa.
Tuambie amejibu nini. Kusema tu ufasaha haitoshi. Halafu unavyoripoti jitahidi kupunguza mahaba na ushabiki.
 
Profesa anafafanua chanzo cha kuunda Mseto na ajabu Freeman Mbowe alihusika na uhamasishaji wa kuunda Serikali ya mseto! Chadema mpo?
Tatizo lile lileee! Bila kuwataja chadema hawawezi kutoka.
 
ajibu kwanini alisafirisha watu kutoka dar kwenda arusha ili kujaza uwanja! aibu zake!
 
Sio Dodoma anahojiwa na Fina Mango kupitia Magic FM na maswali mengi anayoulizwa yameulizwa na wana-JF
 
..hayo mambo ya serikali ya mseto tulishayasikia alipohojiwa na jamaa wa marekani.

..CV yake tunaweza kuipata frm the internet.

..kwanini waandishi wa habari hawaulizi maswali mapya???
 
anajibu kuhusu yeye kugombea na anasema yeye huwa wa mwisho kuchukua fomu! anasema Abdulahi wade alianza kugombea urais 1970 na kuja kuwa rais 2000! lakini kila mtu anahaki ya kugombea!!

Yeye bado hajaamua kwa sasa na anasubiri wakati!
 
Ameulizwa swali kwa nini kila mwaka anagombea yeye kasema haamui mwenyewe ni wanachama ndio wanampendekeza lakini kama wakimsimamisha mwingine atamuunga mkono.
 
..kwanini Prof anawazungumzia wazanzibari?

..tuzungumzie wa-Tanganyika na dhuluma tunayo-endure ktk muungano huu.
 
Profesa anafafanua umuhimu wa kujiunga na OIC na umuhimu wa kubadilisha katiba kuruhusu Zanzibar ijiunge na OIC!
 
OIC haina agenda ya kusilimisha mtu!
 
Back
Top Bottom