Profesa Lipumba awapa 'onyo' wote waliobadilisha na kupaka rangi Ofisi za CUF huko Zanzibar na kushusha bendera

Kisheria Lipumba yuko sahihi kabisa.

Zile ni mali ya taasisi iitwayo Cuf, na Lipumba ndio mwenyekiti wake.

Kama yalikuwa majengo ya kujitolea ili zifanywe kuwa ofisi za chama hilo ni haki yao Act kupaka rangi zao.
 
Ana ushahidi wa kuonyesha nyumba hizo ni za CUF? Au anakurupuka? Akachonge FAKE title deeds ili mahakama imbebe tena. Pumbavu!

Mwenyekiti wa Chama cha Cuf ndugu Profesa Lipumba amewapa onyo wale wote waliobadirisha matumizi ya Ofisi za Chama cha Cuf na kuwa za ACT.

Pia amewakumbusha kwamba ni makosa Kisheria kuchoma Bendera za Chama na kamwe wajiepushe na mukumbo wa ushawishi wa aina yeyote kwa kutenda uovu wa ama kuchoma ama kubadirisha Ofisi za Chama A kuwa za Chama B kinyume cha Sheria.

Amewapa ushauli wa kujitenga na akili za kuambiwa kwani mbele ya safari zitawaponza!
 
Hii ndio taarifa mpya kwa sasa wakuu .

....... Barua yake tutaiweka hapa muda si mrefu .
 
Mwenyekiti wa Chama cha Cuf ndugu Profesa Lipumba amewapa onyo wale wote waliobadirisha matumizi ya Ofisi za Chama cha Cuf na kuwa za ACT.

Pia amewakumbusha kwamba ni makosa Kisheria kuchoma Bendera za Chama na kamwe wajiepushe na mukumbo wa ushawishi wa aina yeyote kwa kutenda uovu wa ama kuchoma ama kubadirisha Ofisi za Chama A kuwa za Chama B kinyume cha Sheria.

Amewapa ushauli wa kujitenga na akili za kuambiwa kwani mbele ya safari zitawaponza!
Jamani hizo Ofisi watu walijitolea nyumba zao wala CUF haikuzijenga au kuzinunua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaona chama cha siasa (upinzani) chenye malengo na hii nchi.

Yaani kila chama kinafanya vituko, 2015 baada ya EL kufika tu na kupewa kitanda huku watoto wakitakiwa kulala jikoni nilijua kuna shida.
Maalim Self kapewa card number moja swali dogo tuu...
Hiyo card ilichukuliwa toka kwa mwengine kwenda kwake..
 
Majengo yanayobadilishwa ni majengo ya watu waliojitolea majengo yao yatumike kama ofisi za cuf,wanapoondoka wanaondoka na chakwao.

Yeye anadhani ya CUF. Yeye na nduguye jiwe na yule kamanda wao.

Waliojitolea mali zao wamezichukua. Yeye alidhani anapendwa yeye.

Hawakuyasema haya kipindi TLP inazaliwa kwa kushushwa bendera za nccr na ofisi kubadilishwa. Na bado ngoja 2020 ije propesa bwana mapesa atakuwa vyema kuliko nyie.
 
Back
Top Bottom