Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
cuf haikuwahi kuwa na ofisi ya kumiliki zaidldi ya wanachama na wafyasi kujitolea mali zao.Waache wadharau kawaida ya wabongo n dharau halafu wakiwekwa ndani wakikosa dhamana wanaanza kupiga kelele...Acha waendelee na akili za kushikiwa wachome bendera moto,nk Wambie Prof ili wasije sema hukuwambia
Napita tu.Mwenyekiti wa Chama cha Cuf ndugu Profesa Lipumba amewapa onyo wale wote waliobadirisha matumizi ya Ofisi za Chama cha Cuf na kuwa za ACT.
Pia amewakumbusha kwamba ni makosa Kisheria kuchoma Bendera za Chama na kamwe wajiepushe na mukumbo wa ushawishi wa aina yeyote kwa kutenda uovu wa ama kuchoma ama kubadirisha Ofisi za Chama A kuwa za Chama B kinyume cha Sheria.
Amewapa ushauli wa kujitenga na akili za kuambiwa kwani mbele ya safari zitawaponza!
Sijaona chama cha siasa (upinzani) chenye malengo na hii nchi.
Yaani kila chama kinafanya vituko, 2015 baada ya EL kufika tu na kupewa kitanda huku watoto wakitakiwa kulala jikoni nilijua kuna shida.
Haiwez kuwa hivo ACT ni mtoto wa ccm.Zzt na prof. watafanya siasa zao bila kubugudhiwa
Sijaona chama cha siasa (upinzani) chenye malengo na hii nchi.
Yaani kila chama kinafanya vituko, 2015 baada ya EL kufika tu na kupewa kitanda huku watoto wakitakiwa kulala jikoni nilijua kuna shida.
mtendeni ni mali ya cuf
sijui atapata wabunge wangapi huyu mchumia...hahahahaha profesa kaanza kudata kuona wafuasi wana kula winga
Watajua wenyewe na upumbavu wao.Tena bado chadema hawasikii membe anakuja atapewa kitanda watoto safari hii watalala bafuni
Atabaki na KAFU yake bara tu,Mwisho wao Bandarini tu hawavuki MAJI,ZNZ atakuwa anaona kwa TV.Aende akasemee Zanzibar! Utamponza mwenzako.
Mkuu, walioumia zaidi ni ccm Wala sio team LipumbaNaona Lipumba amepata hadi wasemaji toka Lumumba. Kaazi kweli kweli
mrangi acha hizo,yaani kama mishikaki au ndafu ya kitimoto
Sio cha Mpapule ?Tena cha kimakonde
Ulichokisahau ni kuwa mali zote za chama huandikishwa kwa msajili wa vyama,chochote kilichoandikishwa kwa msajili kitabaki ni mali ya cuf hata kama ni wanachama walijitolea.Zanzibar amejidanganya.