Profesa Lipumba awapa 'onyo' wote waliobadilisha na kupaka rangi Ofisi za CUF huko Zanzibar na kushusha bendera

alexelias

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
2,032
3,198
Mwenyekiti wa Chama cha Cuf ndugu Profesa Lipumba amewapa onyo wale wote waliobadirisha matumizi ya Ofisi za Chama cha Cuf na kuwa za ACT.

Pia amewakumbusha kwamba ni makosa Kisheria kuchoma Bendera za Chama na kamwe wajiepushe na mukumbo wa ushawishi wa aina yeyote kwa kutenda uovu wa ama kuchoma ama kubadirisha Ofisi za Chama A kuwa za Chama B kinyume cha Sheria.

Amewapa ushauli wa kujitenga na akili za kuambiwa kwani mbele ya safari zitawaponza!
 
Mi nishaamua kupambana na hali zangu kila mtu anajitafutia ugali kivyake.
Mwenyekiti wa Chama cha Cuf ndugu Profesa Lipumba amewapa onyo wale wote waliobadirisha matumizi ya Ofisi za Chama cha Cuf na kuwa za ACT.

Pia amewakumbusha kwamba ni makosa Kisheria kuchoma Bendera za Chama na kamwe wajiepushe na mukumbo wa ushawishi wa aina yeyote kwa kutenda uovu wa ama kuchoma ama kubadirisha Ofisi za Chama A kuwa za Chama B kinyume cha Sheria.

Amewapa ushauli wa kujitenga na akili za kuambiwa kwani mbele ya safari zitawaponza!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Tanganyika na si Zanzibar huku hana kitu.

Ahsante Profesa Lipumba.
 
Aende akasemee Zanzibar sio huko Buguruni,Ofisi zote znz zinabadilishwa zinaenda ACT kama anataka ofisi znz akafungue zake.
 
Waache wadharau kawaida ya wabongo n dharau halafu wakiwekwa ndani wakikosa dhamana wanaanza kupiga kelele...Acha waendelee na akili za kushikiwa wachome bendera moto,nk Wambie Prof ili wasije sema hukuwambia
 
Back
Top Bottom