Profesa Lipumba awapa 'onyo' wote waliobadilisha na kupaka rangi Ofisi za CUF huko Zanzibar na kushusha bendera

Waache wadharau kawaida ya wabongo n dharau halafu wakiwekwa ndani wakikosa dhamana wanaanza kupiga kelele...Acha waendelee na akili za kushikiwa wachome bendera moto,nk Wambie Prof ili wasije sema hukuwambia
wewe jamaa bado unamuona huyo prof aiseee

Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
 
Mwenyekiti wa Chama cha Cuf ndugu Profesa Lipumba amewapa onyo wale wote waliobadirisha matumizi ya Ofisi za Chama cha Cuf na kuwa za ACT.

Pia amewakumbusha kwamba ni makosa Kisheria kuchoma Bendera za Chama na kamwe wajiepushe na mukumbo wa ushawishi wa aina yeyote kwa kutenda uovu wa ama kuchoma ama kubadirisha Ofisi za Chama A kuwa za Chama B kinyume cha Sheria.

Amewapa ushauli wa kujitenga na akili za kuambiwa kwani mbele ya safari zitawaponza!
Huyu lipumba bado anawaza cuf ipo znz? Cuf ndio ishakufa znz hata ofisi ikiwepo itakuwa haina jazi. Prof sijui kama alipata usingizi tangu seif ahamie act. Dah pole sana lipumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waache wadharau kawaida ya wabongo n dharau halafu wakiwekwa ndani wakikosa dhamana wanaanza kupiga kelele...Acha waendelee na akili za kushikiwa wachome bendera moto,nk Wambie Prof ili wasije sema hukuwambia
Wewe unasemaje, mimi nilikuwa mwanachama wa cuf, nikatoa nyumba yangu kwa ridhaa yangu pasipo malipo yoyote, iwe ofisi, leo na mimi nimehamia ACT, nyumba yangu nitamuachia muhuni yule? Na ndio ilivyo hivyo
 
Nakubali nyumba umeshinda vipi kuhusu Bendera nazo pia Ulizitoa wewe??
 
Waache wadharau kawaida ya wabongo n dharau halafu wakiwekwa ndani wakikosa dhamana wanaanza kupiga kelele...Acha waendelee na akili za kushikiwa wachome bendera moto,nk Wambie Prof ili wasije sema hukuwambia

Hakuna mjinga tu anayeweza kutoka nyumbani kwake na kubadili rangi ya jengo ambalo ni mali ya chama....

Ukiona anafanya hivyo, elewa kuwa ni mali yake na maana yake ni kuwa hana mkataba tena na CUF na hakuna sheria ya kumlazimisha awe na mkataba nayo....!!

Kwa ishu ya kuchoma bendera, ingalau hilo ni kosa maana ni kweli hiyo ni mali ya chama.....

Lakini, huko Zanzibar kwani hakuna polisi wa kuwatia ndani wahalifu hao (kama ni kweli wanachoma bendera) mpaka Lipumba awaambie kuchukua hatua?

Wachukue hatua haraka!!.... What are they waiting for?

Usikute bendera zimekusanywa usiku kwa usiku na kwenda kuchomwa moto barabarani ama majalalani pasipo hata aliyezichoma kujulikana....!!
 
Zanzibar Nzima hakuna Sehemu inayopepea Bendera ya CUF kwa Muda huu..

Na kuhusu Mali Nahisi Lipumba anajidanganya Kwani CUF haina Gari wala Baiskeli inayomiliki..

Gari analotembelea Mw. Seif kapewa tu na Mwanachama Mzalendo yeye kama yeye na wala halikupewa kwa ajili ya Chama.

Magari ya Wabunge ni ya Wabunge wenyewe si ya Chama.

Kuhusu Matawi ya CUF hakuna hata sehemu moja CUF iliyojenga jengo kwa ajili ya Chama.
Bali ni Majumba ya Wanachama waliyojitolea wenyewe CUF wakaitwa wakafungue tu.

Mali ya CUF ni Mafaili yaliyopo mtendeni ambayo yote yameshachomwa moto na wameondoka na nyaraka Muhimu tu.
 
Kama elimu haikua na maana kwa sisi wazee, tujitahidi iwe fruitfull kwa watoto wetu. Bila ya hivyo ni nonsense kutumia pesa nyingi kuwasomesha.
 
Mwenyekiti wa Chama cha Cuf ndugu Profesa Lipumba amewapa onyo wale wote waliobadirisha matumizi ya Ofisi za Chama cha Cuf na kuwa za ACT.

Pia amewakumbusha kwamba ni makosa Kisheria kuchoma Bendera za Chama na kamwe wajiepushe na mukumbo wa ushawishi wa aina yeyote kwa kutenda uovu wa ama kuchoma ama kubadirisha Ofisi za Chama A kuwa za Chama B kinyume cha Sheria.

Amewapa ushauli wa kujitenga na akili za kuambiwa kwani mbele ya safari zitawaponza!
Anazo nyaraka zozote kuhusiana na mali hizo ?
 
Back
Top Bottom