Profesa Kitila Mkumbo, wewe ni Waziri jadili hoja za Wizara uliyokabidhiwa

Nimefuatilia mahojiano ITV Kati ya mtangazaji na Dr. Kitilla Mkumbo kuhusu hoja mbalimbali.

Kwa ngazi yake ya elimu na hoja alizotoa unaona namna elimu ya Phd isivyo na umuhimu hasa kwa mwanasiasa.

Leo Kitila mkumbo aliyekosa ushawishi kwa Wana ubungo anatuaminisha upinzani imepoteza imani kwa wananchi?

Kwamba yeye huko aliko anaona anapendwa na wanapendwa?

Naomba nimkumbushe kwamba siku zote mate utemwa chini na hata yakitemwa kuelekea juu yatarudi chini tu.

Upinzani siyo chama Tena Bali ni imani ya watu hivyo hata ufanye mazuri mengi kiasi gani bado unahitaji dola kusalia madarakani na si wananchi. Hakuna mwananchi mwenye imani na chama Tawala Duniani, watu wanatamani kuona mifumo mipya kila wakati.

Watu wanataka haki ya kuishtakiwa iwe kwa wote kwa dhana kwamba hakuna binadamu aliye juu ya sheria. Nani atakuwa na amani na mtu mwenye mamlaka yakushtaki lakini yeye ashtskiwi?

Mgabe alipoondoka ikulu ndipo alipojua kwamba hakuna mzimbabwe aliyekuwa na kiu yakumwona akiwa anatawala ila awali akiwa madarakani kila mtu alionekana kuwa mfuasi wake. Alipopinduliwa hata Mawaziri na wasaidizi wake awakumsapoti walikaa pembeni.

Kwa mfano huu nataka kumsaidia Dr. Mkumbo kwamba ulimwengu huu wa sasa hakuna uwekezaji unaofanywa kwa kupenda mtu au chama Cha siasa Bali uwekezaji upo kwenye mabadiliko.
Na tafsiri ya mabadiliko haiwezi kuletwa na chama Bali mabadiliko ni itajio la kila siku likihusishwa na dhana ya endles needs.

Ajikite kwenye nafasi ya Waziri na majukumu yake, habari za siasa za vyama awaachie kina polepole. Unapopewa muda wakuzungumza Kama Waziri jikite kwenye hoja zakiwizara maana muda ni mchache na matatizo ni mengi.
Hili la upinzani kuwa kwenye mioyo ya watu nina mashaka nalo.
 
Mojawapo wa maprofesa wa ovyo kabisa kuwahi kutokea bongo,hivi bila Chadema angekuwa hapo alipo? Hana shukrani hata kidogo, yaani hoja zake huwezi kumtofautisha na kibajaji.
 
Kitila Mkumbo kama wote waliounga mkono ''mitano tena" karata yao ya kumfurahisha Jiwe na kuwa hakika ya nyadhifa zao ni kutukana sana Chadema na upinzani kwa ujumla na sio uwezo wao .
Mfano mzuri ni Petrobas Katambi.
 
Hawa ndio wale wasomi wetu wa 'majalalani', tuna bahati mbaya kabisa na wasomi wetu Tz.
Ni nadra kabisa kuweza kumjua msomi ktk jamii zetu kwani maisha yao, zungumza yao hadi tembea yao ni kama hawakusoma kabisa.
 
Kitila nimempuuza sana! Yaani anapewa muda wa kuongelea mikakati ya wizara anaanza kuongelea CHADEMA? Yaani alipofika hapo tu nikahama channel! Ukweli wenyewe anajua kwamba CHADEMA iko ndani ya mioyo ya Watanzania, hata ubunge alionao hakushinda!

Alichokuwa anaongea ni yale maumivu ya ndani kwa ndani ambayo anajua kabisa cdm ndio inayopendwa kuliko ccm. Sasa anatumia nafasi hiyo kuisema cdm in a negative way, akitarajia atabidili ukweli kuwa katika hayo matamanio yake. Anajua fika ccm haina mvuto, hivyo namna pekee ni kupiga propaganda mfu kuwa cdm haipendwi.
 
Nimefuatilia mahojiano ITV Kati ya mtangazaji na Dr. Kitilla Mkumbo kuhusu hoja mbalimbali.

Kwa ngazi yake ya elimu na hoja alizotoa unaona namna elimu ya Phd isivyo na umuhimu hasa kwa mwanasiasa.

Leo Kitila Mkumbo aliyekosa ushawishi kwa Wana ubungo anatuaminisha upinzani imepoteza imani kwa wananchi?

Kwamba yeye huko aliko anaona anapendwa na wanapendwa?

Naomba nimkumbushe kwamba siku zote mate utemwa chini na hata yakitemwa kuelekea juu yatarudi chini tu.

Upinzani siyo chama Tena Bali ni imani ya watu hivyo hata ufanye mazuri mengi kiasi gani bado unahitaji dola kusalia madarakani na si wananchi. Hakuna mwananchi mwenye imani na chama Tawala Duniani, watu wanatamani kuona mifumo mipya kila wakati.

Watu wanataka haki ya kuishtakiwa iwe kwa wote kwa dhana kwamba hakuna binadamu aliye juu ya sheria. Nani atakuwa na amani na mtu mwenye mamlaka yakushtaki lakini yeye ashtskiwi?

Mgabe alipoondoka ikulu ndipo alipojua kwamba hakuna mzimbabwe aliyekuwa na kiu yakumwona akiwa anatawala ila awali akiwa madarakani kila mtu alionekana kuwa mfuasi wake. Alipopinduliwa hata Mawaziri na wasaidizi wake awakumsapoti walikaa pembeni.

Kwa mfano huu nataka kumsaidia Dr. Mkumbo kwamba ulimwengu huu wa sasa hakuna uwekezaji unaofanywa kwa kupenda mtu au chama cha siasa Bali uwekezaji upo kwenye mabadiliko.

Na tafsiri ya mabadiliko haiwezi kuletwa na chama Bali mabadiliko ni itajio la kila siku likihusishwa na dhana ya endles needs.

Ajikite kwenye nafasi ya Waziri na majukumu yake, habari za siasa za vyama awaachie kina polepole. Unapopewa muda wakuzungumza Kama Waziri jikite kwenye hoja zakiwizara maana muda ni mchache na matatizo ni mengi.
Watu wanataka haki ya kuishtakiwa iwe kwa wote kwa dhana kwamba hakuna binadamu aliye juu ya sheria. Nani atakuwa na amani na mtu mwenye mamlaka yakushtaki lakini yeye ashtskiwi?

*****************

Umetiririka weee ila hiyo paragraph hapo juu imeonyesha namna gani uwezo wako wa kuyatizama mambo kwa mapana ulivyo dumaa.

Jatibu kutafuta mifano kadhaa ya vyama vilivyokua tawala vilivyokua na vile vilivyokua upinzani na kukamata dola vilivyoendesha mambo yake baada ya kupewa dola.

Kisha ukuje tena hapa tujadili kea mapana.
 
Yaani hata mie nilikaa mkao wa kusikiliza, mikakati aliyonayo, kama msomi kuleta uwekezaji ili kuharakisha maendeleo, but nikaona analeta tena mambo ya siasa..... nikaishia kusema kimoyomoyo..hiiiiiii kazi kwelikweli!!
Haluna kitu pale. Huyu anatakiwa arudi akafundishe.

Ila kwa upande mwingine tatizo ni la Katiba yetu.
 
Punguza ushabiki wa kijinga. Kitila ni mwanasiasa na ni mbunge. Hicho ni kipindi ambacho muendesha kipindi anamualika na kumuhoji mtu vile anavyopanga yeye. Hicho kipindi kilihusu siasa na uwekezaji. Sio kongamano la uwekezaji. Pia kwa mfumo wa kisheria ulivyo hapa kwetu, waziri ni cheo cha kisiasa. Angekua ni katibu mkuu wa wizara hapo kweli ingekua issue.
 
Kahamia ccm ndio inaonekana kuna tatizo kwenye elimu yake ila alivyokuwa upinzani hilo tatizo la elimu yake halikuwa likionekana.
 
Alichokuwa anaongea ni yale maumivu ya ndani kwa ndani ambayo anajua kabisa cdm ndio inayopendwa kuliko ccm. Sasa anatumia nafasi hiyo kuisema cdm in a negative way, akitarajia atabidili ukweli kuwa katika hayo matamanio yake. Anajua fika ccm haina mvuto, hivyo namna pekee ni kupiga propaganda mfu kuwa cdm haipendwi.
CDM kupendwa mitandaoni tu haitoshi mkuu.
 
Huko mtaani wale wanaonyonyesha kuipenda cdm wanahujumiwa shughuli zao za kuwaingizia kipato, wanabambikiwa kesi, kuuwawa, kutekwa na uhayawani mwingine kama huo. Hapa mitandaoni ndio sehemu wangalau wanaweza kuonyesha sifa zao.
 
Hii inchi maporofesa na madokota ni hopeless kuliko std7..hata mavyuoni approach zao kutongoza vident za kishamba hadi unashangaa aisee
 
Huko mtaani wale wanaonyonyesha kuipenda cdm wanahujumiwa shughuli zao za kuwaingizia kipato, wanabambikiwa kesi, kuuwawa, kutekwa na uhayawani mwingine kama huo. Hapa mitandaoni ndio sehemu wangalau wanaweza kuonyesha sifa zao.
Sasa tutajuaje kama CDM inapendwa na wengi huko mitaani ila tu wanaogopa hayo madai uliyoyasema Au kwamba ni wachache ndio maana imekuwa rahisi kuweza kuwafanyia hayo mambo na ikawezekana kuogopa na kunyamaza kwa sababu ni wachache?
 
Iddy Amini hakuwa anapendwa na Waganda, je ulioa mtu akimpinga?
 
Back
Top Bottom