Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,362
- 26,943
- Thread starter
-
- #81
mambo ya "alla" umeribu uzi.Kuna dogo wa kuitwa Majid Hamidu Nullo,ni Dr hapo hapo UDSM ila kwa sasa yupo Asia,kazaliwa kama sikosei 1982-1983,huyu Allah akipenda atakuwa prof kijana zaidi hapo UDSM,ni MT wa IT
mambo ya "alla" umeribu uzi.
who knows kama kweli "allah" yupo, ? kama hajafa na kusubiri hukumu kwa "Mungu"? yani Mungu wa Abraham, isaac na jacob?
Mungu wa Israel?
Una usomi gani wewe mbuzi wa chooni!mnaharibu thread za kisomi
Kipaji kinakufa hichoHatimaye Chuo chetu cha UDSM kimepata kuwa na professor mtoto kuliko wote, amepata ubalozi.
huyu professor ni kijana mdogo sana na ana akili za ziada.
Magufuli anajua kutafuta vichwa, pongezi raisi wetu MAGUFULI
View attachment 1212578
View attachment 1212579
andika kiswahili ili kiongozi wa wanyonge akuelewe, usipende ubeberu na mambo ya allah, huyu ni mungu wa waarabuUnang'ang'ana kuonekana una akili lakini wewe ni MBUMBUMBU tu na utaendelea kuwa MBUMBUMBU siku zote.
Akili zako zimeachana ndio maana huwezi kuandika sentensi zilizonyooka na zinazoeleweka!
Haujui tu ni namna gani inachefua kumuona mbumbumbu anajitahidi kuonekana mwerevu!
Go take a nap please!
36
Prof Kighoma Malima at 34 Nchini Marekan akitokea Minaki Secondary
Dr Dau alipata Phd akiwa na 28 Nchini Newzeland 1992
Dr Gharib alipata phd ya Nuclear akiwa na 31 Nchini Marekan
Dr Mahiga the same
ukisomea Tanzania, kwenye shule za "wanyonge" u profesa utapata at age of 45, tena hapo usiwe na sapu hata moja.36
Prof Kighoma Malima at 34 Nchini Marekan akitokea Minaki Secondary
Dr Dau alipata Phd akiwa na 28 Nchini Newzeland 1992
Dr Gharib alipata phd ya Nuclear akiwa na 31 Nchini Marekan
Dr Mahiga the same
Hao walipata PhD. Huyu ni Professor. Kuwa na PhD sio professor36
Prof Kighoma Malima at 34 Nchini Marekan akitokea Minaki Secondary
Dr Dau alipata Phd akiwa na 28 Nchini Newzeland 1992
Dr Gharib alipata phd ya Nuclear akiwa na 31 Nchini Marekan
Dr Mahiga the same
Haitwi Francis kifukwe anaitwa Gwamaka kifukweKuna dogo mmoja wa Francis Mponjoli Kifukwe alichukua Ph.D akiwa na miaka 26 kama sijakosea.
Sasa kama miaka 43 ni mtoto, huyo wa 26 aitwe vipi?
watanzania hawajui kingereza, kiswahili hawajui, sasa bora tu mbunge msukuma apeleke mswada kisukuma kiwe lugha ya taifa,Hao walipata PhD. Huyu ni Professor. Kuwa na PhD sio professor
Mbona unaandika ujinga? Yaani unakuwa kama mtu kipindi cha uchaguzi! Hata Kikwete tuliambiwa ni kijana. Mtu ana zaidi ya miaka 40 wewe unasema ni kijana! Rubbish brain! Au ulitaka tuone CV yake. Angalia CV ya Issa Shivji akiwa na umri kama wake alikuwa wapi kitaaluma. Wewe unatueletea sifa za kuwa mjumbe na bhla.bhala!Hatimaye Chuo chetu cha UDSM kimepata kuwa na professor mtoto kuliko wote, amepata ubalozi.
huyu professor ni kijana mdogo sana na ana akili za ziada.
Magufuli anajua kutafuta vichwa, pongezi raisi wetu MAGUFULI
View attachment 1212578
View attachment 1212579
Misuse of National resources.What a waste!!
Unamtoa intelligent, young, and energetic individual from a higher learning institution na kumpeleka ubalozini!!?
With an incredible knowledge of mathematics, 14-year-old Yasha Asley is the world’s youngest professor. Known as the human calculatorProf Kennedy
LLB 2003 @ 27yrs
Phd 2007 @ 31yrs
Prof Justinian Rweyemamu
Bsc - 1965 @ 23yrs
Phd - 1971 @ 29yrs
Prof ibrahim Lipumba
BA 1976 @24yrs
Phd 1983 @ 31yrs
Sio mbaya japo sio record breaking pia!
Kama kawaida watu wanaokotwa toka jalalani.Hatimaye Chuo chetu cha UDSM kimepata kuwa na professor mtoto kuliko wote, amepata ubalozi.
huyu professor ni kijana mdogo sana na ana akili za ziada.
Magufuli anajua kutafuta vichwa, pongezi raisi wetu MAGUFULI
View attachment 1212578
View attachment 1212579
36
Prof Kighoma Malima at 34 Nchini Marekan akitokea Minaki Secondary
Dr Dau alipata Phd akiwa na 28 Nchini Newzeland 1992
Dr Gharib alipata phd ya Nuclear akiwa na 31 Nchini Marekan
Dr Mahiga the same
Prof: na Phd ziko sawa mkuu?Kuna dogo mmoja wa Francis Mponjoli Kifukwe alichukua Ph.D akiwa na miaka 26 kama sijakosea.
Sasa kama miaka 43 ni mtoto, huyo wa 26 aitwe vipi?
Phd na huyu ni Prof: kuweni wapole sana.36
Prof Kighoma Malima at 34 Nchini Marekan akitokea Minaki Secondary
Dr Dau alipata Phd akiwa na 28 Nchini Newzeland 1992
Dr Gharib alipata phd ya Nuclear akiwa na 31 Nchini Marekan
Dr Mahiga the same