Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,228
- 4,776
Sio kweli katibu mkuu anamadaraka na mshahara mkubwa kulipo katibu tawala wa mkoaKiutawala RAS ni sawa na katibu mkuu maana hata mishahara iko ngazi moja ama daraja moja...
AiseeKiutawala RAS ni sawa na katibu mkuu maana hata mishahara iko ngazi moja ama daraja moja.
Katibu mkuu anasimamia wizara yake nchi nzima lakini RAS anasimamia mkoa wake, sehemu kubwa ya RAS ni watumishi walioko serikali kuu na serikali za mitaa kama waalimu, watu wa idara ya afya na wengine.
Sema ukiwa RAS inabidi uwe mtu wa majungu sana si unajua waalimu walivyo na majungu, sasa hao ndio unashughulika nao kila siku.
Afadhali wewe umeonaMwenyewe nimeshangaa sana. Pamoja Na kwamba mshahara unaweza usishushwe ila dah ni adhabu. Kwa ngazi ya DVC finance Mzumbe Na ukatibu mkuu- permanent secretary wizara mbalimbali hapo kwenye URAS kashushwa aisee. Pole sana DVC wangu Prof. Kamuzora
Kafulila tupo nae hapa uvinza njia panda. Hatujui tuelekee Kigoma , Mpanda au Kasulu.Yuko sawa na Kafulila !
Sio kweli ni demotion coz ras mshahara wake ni kwenye mil 5.8 bado allowances mbalimbali sasa niambie ni profesa gan ktk chuo cha umma analamba huo mshaharaKatibu tawala yuko chini ya Mkuu wa Mkoa tukumbuke, hawezi mzidi Mkuu wa Mkoa Mshahara, tuyaache hayo, kwa levo ya Professor hii ni Demotion
Mzumbe chuo na mkoa wote wa Kagera, kipi kikubwa! Au RAS mkoa wa Morogoro wote (ambapo kuna Mzumbe, Sokoine, Islamic, etc.) na Mzumbe DVC finance tu nini kubwa zaidi?Mwenyewe nimeshangaa sana. Pamoja Na kwamba mshahara unaweza usishushwe ila dah ni adhabu. Kwa ngazi ya DVC finance Mzumbe Na ukatibu mkuu- permanent secretary wizara mbalimbali hapo kwenye URAS kashushwa aisee. Pole sana DVC wangu Prof. Kamuzora
ras mshahara wake ni kwenye mil 5.8
Elimu ya Tanzaniaz Magu ameifinyanga kama udongo.Aisee nimeshangaa sana huyu ticha wangu, Pia nashindwa kujua pia kwa nini kuna mchanyato sana? Utakutana na katibu tawala Darasa la saba, katibu tawala Form 4, katibu tawala Form six leaver, katibu tawala mwenye certficate ya kuunga uunga, katibu tawala mwenye Diploma, katibu tawala mwenye Degree, mwenye Masters, na mwenye Phd kama Prof Kamzora....