Poor perceptionAisee nimeshangaa sana huyu ticha wangu, Pia nashindwa kujua pia kwa nini kuna mchanyato sana? Utakutana na katibu tawala Darasa la saba, katibu tawala Form 4, katibu tawala Form six river, katibu tawala mwenye certficate ya kuunga uunga, katibu tawala mwenye Diploma, katibu tawala mwenye Degree, mwenye Masters, na mwenye Phd kama Prof Kamzora....
Ulivyoandika tu "upply" ,moja kwa moja sikiendelea kusoma uzi nilijua tu hata hiyo mzumbe hujui ipoje
7
Ulivyoandika tu "upply" ,moja kwa moja sikiendelea kusoma uzi nilijua tu hata hiyo mzumbe hujui ipoje
Mwisho lakini sio kwa umuhimu, HAKUNA RAS darasa la 7
Mkuu ilitangulia Form six river au hukuionaUlivyoandika tu "upply" ,moja kwa moja sikiendelea kusoma uzi nilijua tu hata hiyo mzumbe hujui ipoje
Mwisho lakini sio kwa umuhimu, HAKUNA RAS darasa la 7
But for a professor....no! Hayo Ni matumizi mabaya ya rasilimali watu,labda kama amewekwa hapo kupasha kama reserve ya u km.RAS sio mtu mdogo.... hata maslahi yake sio madogo Pia...
Yuko sawa na Kafulila !Aisee nimeshangaa sana huyu ticha wangu, Pia nashindwa kujua pia kwa nini kuna mchanyato sana? Utakutana na katibu tawala Darasa la saba, katibu tawala Form 4, katibu tawala Form six leaver, katibu tawala mwenye certficate ya kuunga uunga, katibu tawala mwenye Diploma, katibu tawala mwenye Degree, mwenye Masters, na mwenye Phd kama Prof Kamzora...
Elimu gani isiyo na thamani? Yeye kama msomi ameonyesha nini cha tofauti zaidi ya vyeti bila chochote cha maana cha kusaidia