Profesa huyo

Profesa huyo

njaa haina Prof nimeamini, ndo maana wasomi wengi ambao ni wanasiasa wapuuzi sn huwei amini matendo yao na elimu yao
 
Linasadifu tabia yake jina huwa lina maana kubwa sana katika maisha ya mtu, hata uwe na PHD kama una jina la hovyo utaonekana tu wewe ni Li- pumba-vu
Cc Mshaha junior
 
Tatizo la watu wa Tanganyika wanapenda kusikia na kuona yale tu yanayopendeza masikioni mwao na machoni mwao......
 
Huyu atakuwa ameharibu huko chooni

Sasa hapo anaangalia kama kuna mtu alimuona alipoingia
 
Le Professeur kwenye siasa.... matope... matope... matope ... matopeee kabisaaaa!?... Anatisha ukilaza wake kwenye siasa!....
 
Sasa hata kama kuna hatari na le Professeur anaogopa... ndo anashindwa kufumba mdomo?!...
 
Back
Top Bottom