Profesa Baregu: Watanzania Wanajiaandaa Kukikabithi CHADEMA Dola.

Profesa Baregu: Watanzania Wanajiaandaa Kukikabithi CHADEMA Dola.

Hiyo DOLA ya kukabidhiwa CHADEMA bado haijaexist!

Itakubidi uende kujificha msalani kwani ni DOLA hii hii itakayokabidhiwa CHADEMA 2015. Hicho Chama cha Mafisadi (CCM) hakina nafasi tena katika nchi hii ifikapo 2015. Kwa kuwa wewe ni mwenzao katika kuifisadi nchi na kuwafanya wananchi waishi kwa mateso itakubidi ufie huko huko ulikojificha kwani CCM ikitoka haitarudi tena. Pole!
 
Dola ipimya marekani au dola ya nchi gani au ni paund siyo dola.
 
Kwani magamba huwa mnakiri ukweli? Wajuuzi wa mambo wanajua CDM mwakani inatimba magogoni.

Kwa chama kisichojulikana msemaji mkuu ni nani itakuwa ngumu sana. Kuingia magogoni si sawa na kwenda msalani. Inahitaji utashi, umakini na siasa zilizo na adhim na dira. Chadema ni chama makini ila wakubali kuwa kwa sasa wamepotea. Busara na hekima zinahitajika wakijenge chama upya, ikiwa na kuweka chain of commands kila mtu awajibike kwa nafasi yake. Mfano tu msemaji wa chadema ni nani? Tumaini, yericko au ben saanane.

Pia baadhi ya viongozi kama tundu lisu, mnyika, lema na msigwa inabidi waelimishwe kuwa anaruhusiwa kuongelea masuala ya chama ni mmoja tu, ambaye ni tumaini makene.
 


"Hivi sasa Watanzania wanajiandaa kukikabidhi CHADEMA dola,
ni wakati mzuri wa viongozi kufikiria maisha ya chama kwanza na baadaye ukweli wa mambo utajulikana," amesema.

source: wavuti.com



inategemea definition yake ya Dola...no wonder UDSM did not want to renew his contract!
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya chadema, Profesa Mwesiga Baregu, amesema viongozi wa chama hicho wanapaswa kulinda kauli zao ili kuepuka mvuragano unaoweza kutokea wakati huu.

“Wakati huu ambao chama kimekuwa na mambo mengi, nawasihi viongozi kuchunga kauli zao ili kuepuka matatizo ambayo yanaweza kujitokeza.

“Nimekuwa msuluhishi ndani ya chama, nakwambia ndani ya chama haiwezekani fikra moja ikaendelea kudumu, kwa msingi huo lazima watu watofautiane mtazamo, si kila jambo kupinga.

“Katika hali hii, msimamo wangu ni kwamba changamoto inayotukabili tupunguze makali ya maamuzi, kwa sababu Watanzania wengi wanakitegemea chama hiki.

“Hivi sasa Watanzania wanajiandaa kukikabidhi CHADEMA dola,
ni wakati mzuri wa viongozi kufikiria maisha ya chama kwanza na baadaye ukweli wa mambo utajulikana,” amesema.

source: wavuti.com



PROF. CHADEMA bado kukabidhiwa ola coz haina watuwa kuongoza/kiti mchzesha disco -DJ. katibu mkuu PADRI mzinzi hana ndoa, mwana sharia Tundu chizi refer dr kigwangaa. Kwa hiyo Prof endelea kukilea chama bado kina sima dede
 
Alimaanisha dola ya marekani au dola ipi, maana kama ni dola ya marekani hizo wanaweza kabidhiwa , hii nyingine itakua dola ya moshi
 
Prof Baregu huwa anajitambua. Ni mtu makini sana na muhimu.

Ni kweli prof,CHADEMA ndio tumaini la watanzania

ni kweli ni mtu makini sana nakubaliana na wewe na ndiyo maana kauli zake kwa watu wenye akili ndogo kamwe hawawezi kuzitafsiri na badala yake wataishia kushabikia tu au kuponda tu....jamani, profesa aliposemakuwa watz wanajiandaa kuikabidhi dola cdm hakuwa na maana kuwa ni 2015, alikuwa na maana ya 2055; na hii ni kama ''all factors will remain constant''. kauli za maprofesa huwezi kuzitafsiri kirahisi tu kama za lema au sugu au nape!
 
Hiyo DOLA ya kukabidhiwa CHADEMA bado haijaexist!

Hiv ndugu yangu msalani, mama aliekuzaa anajisikiaje kulizaa litoto kama wewe.? Badilika bana, maana umejiita msalani humu JF umekuwa kama msalani kabisa.
 
Prof. Baregu pamoja kuwa nakuheshimu sana kwenye ili nakupinga tanzania hakuna chama mbadala wa CCM.
Nakubaliana na wewe kwamba TZ kweli hakuna mbadala wa ccm kwa hoja moja kwamba unaposema mbadala una maanisha kwamba ikiondoka CCM KIINGIE chama kingine kinachofanana na CCM????????.Mheshimiwa ni kwamba sisi WATANZANIA hatuhitaji mbadala wa CCM kama ilivyokuwa CCM Kwa TANU ila tunahitaji chama TOFAUTI kabisa na CCM, Chenye maono tofauti na ccm,chenye dhamira tofauti na ccm na chenye uwezo wa kuitoa TANZANIA kwenye lindi la umasiki uliosababishwa na CCM na kutupeleka kwenye neema ambayo MUNGU alitaka tuiishi.Hatuhitaji chama mbadala wa CCM.
 
PROF. CHADEMA bado kukabidhiwa ola coz haina watuwa kuongoza/kiti mchzesha disco -DJ. katibu mkuu PADRI mzinzi hana ndoa, mwana sharia Tundu chizi refer dr kigwangaa. Kwa hiyo Prof endelea kukilea chama bado kina sima dede
Wewe hii nchi sasa ipo chini majangili na wauza unga!!! majangili na wafuasi wao kama huyu wanapigana kufa na kupona kumaliza raslimali au kusaliti wenye nia njema kama CDM!! halafu kuna muuza unga mmoja hapo juu anadai prof hajui maana ya dola!! Ana haki maana dola haipo tena baada mafia wa CCM kuigeuza kichaka cha kupora! shame on you!!
 

Hiv ndugu yangu msalani, mama aliekuzaa anajisikiaje kulizaa litoto kama wewe.? Badilika bana, maana umejiita msalani humu JF umekuwa kama msalani kabisa.

Great thinker, kwa kumsaidia huyo ndugu hapo msalani haina maana moja kumaanisha chooni. Angalia hii

Msalani is a place with a very small population in the state/region of Zanzibar North, Tanzania which is located in the continent/region of Africa.
Cities, towns and places near Msalani include Kiungani, Donge Kiungani, Mkunguni and Kiunduu.
 
Cdm bado sanaa!

Ni jambo zuri sana ironically unapokuwa na mwanao anapata 90% alafu unamwambia bado bado kisaikolojia unamsaidia kwa njia mbili

1.Aendelee kuwa makini na masomo mpaka apate 100% na hili atajitahidi alifanye ili umkubali na akuridhishe pia
2.Kwamba kama hapo ni bado basi hatakiwi kushuka,daima ajitahidi hata hapo alipo asishuke zaidi ijapo kiukweli panakuwa si pabaya ila awe consistent

Kwangu,huu ushauri wako unaisaidia CDM kulenga mbali zaidi
 
Tatizo hujui hata nini kinacho endelea CCM! Wengine tunaishi na kujadiliana na baadhi ya viongozi wako kwa faragha. Wanayo yasema pembeni ni tofauti kabisa na sura wanayo onesha hadharani. Bila madaraka ya dola hakuna CCM! Watu wajezana huko kwasababu ya kupata madaraka na pesa,si mapenzi ya chama wala taifa lao.
Hao viongozi watakuwa wamekudanganya.
 
Back
Top Bottom