Profesa Baregu: Watanzania Wanajiaandaa Kukikabithi CHADEMA Dola.

Profesa Baregu: Watanzania Wanajiaandaa Kukikabithi CHADEMA Dola.

Touch-Log Out

Forum-New Posts-Settings-Search

->-Forum->-General Forums->-Jukwaa la Siasa

Topic:-nape wa ccm ni sawa na zito wa chadema

longinos-12:00 Today-

Ukifuatilia siasa za hawa dogo zinafanana, nape alipoleta ukorofi kuhusu jengo la uvcccm alijifanya ni mpambanaji, mtetezi wa vijana nakujifanya ccm anaijuwa kuliko akina EL eti kwa sababu baba yake alikuwa kwaya masta wa ccm(kama komba)kilichompa nafasi moses nnauye ni kuimba si weledi wa siasa.Nepi aliporudishwa kundini na jakaya alirudi na kauli mbiu KUFUKUZA MAGAMBA NDANI SIKU 90 naamini ni siku 90000.Kinachojitokeza ni kunenepeana kwa Nepi bila majibu ya siki 90.
Zito nae kaja na gear hiyo hiyo, nilijiunga cdm nikiwa na miaka16 so what oh wengine wametoka ccm wanajifanya wanakijua chama, hizi ni kauli na kijuha ambazo hazina mshiko sijui zito alitaka watu watokee mwandiga au kwa ndugu zake wa asili Bujumbura? Kama unakipeleka chama mahakamani unategemea huruma gani kwa wana cdm? Tamaa na kutaka sifa ndiko kunakowasumbua waili hawa na hawatafika popote kisiasz maana WANAFIKI walilaaniwa hata kwenye vitabu vya dini mwisho wa zito na nape 2015 sababu Kikwete akitoka Nepi inabini akajiunge na Frelimo ya msumbiji na MM Zito mahakama itakulinnda mpaka 2015 baada ya hapo utatupwa chali,

ZZK na serikali yake, CDM na watu wao
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya chadema, Profesa Mwesiga Baregu, amesema viongozi wa chama hicho wanapaswa kulinda kauli zao ili kuepuka mvuragano unaoweza kutokea wakati huu.

“Wakati huu ambao chama kimekuwa na mambo mengi, nawasihi viongozi kuchunga kauli zao ili kuepuka matatizo ambayo yanaweza kujitokeza.

“Nimekuwa msuluhishi ndani ya chama, nakwambia ndani ya chama haiwezekani fikra moja ikaendelea kudumu, kwa msingi huo lazima watu watofautiane mtazamo, si kila jambo kupinga.

“Katika hali hii, msimamo wangu ni kwamba changamoto inayotukabili tupunguze makali ya maamuzi, kwa sababu Watanzania wengi wanakitegemea chama hiki.

“Hivi sasa Watanzania wanajiandaa kukikabidhi CHADEMA dola,
ni wakati mzuri wa viongozi kufikiria maisha ya chama kwanza na baadaye ukweli wa mambo utajulikana,” amesema.

source: wavuti.com

Kuna watu wana muono sahihi sana ndani ya CDM,na wako kimya kwa kuto kutoa kauli kama za tundu lissu.Big up mdee na Baregu naamini mtaendelea kuwa na busar hivyo hivyo
 
Ukiitafakari maneno ya baregu ni muongozo alowapa m/kiti na katibu mkuu wake na akina lema na co
 
Profesa Baregu anawaliwaza wenzake lakini ukweli anaujua.
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya chadema, Profesa Mwesiga Baregu, amesema viongozi wa chama hicho wanapaswa kulinda kauli zao ili kuepuka mvuragano unaoweza kutokea wakati huu.

“Wakati huu ambao chama kimekuwa na mambo mengi, nawasihi viongozi kuchunga kauli zao ili kuepuka matatizo ambayo yanaweza kujitokeza.

“Nimekuwa msuluhishi ndani ya chama, nakwambia ndani ya chama haiwezekani fikra moja ikaendelea kudumu, kwa msingi huo lazima watu watofautiane mtazamo, si kila jambo kupinga.

“Katika hali hii, msimamo wangu ni kwamba changamoto inayotukabili tupunguze makali ya maamuzi, kwa sababu Watanzania wengi wanakitegemea chama hiki.

“Hivi sasa Watanzania wanajiandaa kukikabidhi CHADEMA dola,
ni wakati mzuri wa viongozi kufikiria maisha ya chama kwanza na baadaye ukweli wa mambo utajulikana,” amesema.

source: wavuti.com

jOKA LIKISHAPEVUKA NA KUKAA KIHATARI HUPAZWA!
 
Kwani kuna U prof wa kutabiri? Kama ni hivyo sheikh Yahya angekua mkuu mkuu wao enzi zake.
 
Hata kama chadema kuna mgogoro kamwe siwezi kuwa ccm.
Nikikumbuka ufisadi,ujangili,umaskini wa kutupwa na kukosekana huduma mhimu Nazidi kuichukia ccm.!!
 
Prof uko sawa, ila sio kila uvumilivu ni sawa, kama Watanzania wanajiandaa kuikabidhi Cdm dola, basi nanyi viongozi jiandaeni kuwa na safu nzuri isiyo na mawaa, huwezi vumilia ujinga kama wa Zitto ati kisingizio ni kujiandaa kushika dola, hiyo siyo sawa, maana yatakuwa sawa na haya ya familia ya panya. We need to have clean people. Kinyume na hivyo, tubaki na hii familia ya panya Ccm
 
Back
Top Bottom