Jamani umenichekesha! Nimecheka mpaka machozi!kwi kwi kwi kiw kwi kwi kwi kwi nimecheka sana hawa jamaa kwa kupenda wali balaa naona jamaa anamuagiza mshkaji kuwa amesahau pilipili na ndizi zake kwenye gali akamletee ha ha ha ha ha ah
We acha tu! Unajua niliwahi kubishana sana na jamaa zangu suala la baadhi ya watu kwenda kwenye shughuli (msiba/sherehe) wakiwa na pilipili au ndizi mfukoni. Mie bado siamini kama mtu mzima anaweza kufanya hivyo. Sasa niliposoma hiyo comment nikakumbuka kuhusu huo ubishi.angalia usije kuangusha MENO
Cheza na Mnyamwezi wewe, kwetu wali tunaita mboga. Ukileta wali njemba hali ukimuuliza atakwambia bado nasubiria chakula, mboga tayari.:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:
kafuta chote kudadadeki
na wapo wengine huenda na mifuko ya LAMBO kwa ajilinya kujibebea..................hili nimelishuhudia mwenyewe pale YangaWe acha tu! Unajua niliwahi kubishana sana na jamaa zangu suala la baadhi ya watu kwenda kwenye shughuli (msiba/sherehe) wakiwa na pilipili au ndizi mfukoni. Mie bado siamini kama mtu mzima anaweza kufanya hivyo. Sasa niliposoma hiyo comment nikakumbuka kuhusu huo ubishi.
Ni kweli mkuu hao watu wana njaa mpaka imepitiliza, nilishuhudia hivi karibuni.na wapo wengine huenda na mifuko ya LAMBO kwa ajilinya kujibebea..................hili nimelishuhudia mwenyewe pale Yanga
Dah, basi sitabisha tena.na wapo wengine huenda na mifuko ya LAMBO kwa ajilinya kujibebea..................hili nimelishuhudia mwenyewe pale Yanga
Ni kweli mkuu hao watu wana njaa mpaka imepitiliza, nilishuhudia hivi karibuni.
Nimeshindwa kujibu kwasababu sijafahamu maana ya hayo maneno.I am very sorry MwaJ, kwani na wewe ni kandambili/Yeboyebo ? ooooooooooppssssssss hufananiiiiiiiii
Dada utashabikiaje kitu wakati hujui majina yake yote?Nimeshindwa kujibu kwasababu sijafahamu maana ya hayo maneno.
Unashangaa hilo la V. Mdee huku Mbezi B, kuna toto limeanzia chekechea, Primary, O-Level mpaka A-Level ST. MARY ya Mbezi Beach na kipindi chote hicho lilikuwa likipelekwa shule na gari ya familia.Dah, hata Vanessa Mdee alipoambiwa kuhusu shule za Kanumba akasema "Kanumba ni wapi?
kwani unaishi wapi MwaJ?
Kwani kuishi mahali flani kuna determine kujua maana ya maneno flani?Dah, hata Vanessa Mdee alipoambiwa kuhusu shule za Kanumba akasema "Kanumba ni wapi?
kwani unaishi wapi MwaJ?
Hakuna nilichoshabikia zaidi ya kucheka kuhusu huyo aliyeambiwa kuwa anaagiza ndizi na pilipili alizosahau kwenye gari.Dada utashabikiaje kitu wakati hujui majina yake yote?
unashangaa hilo la v. Mdee huku mbezi b, kuna toto limeanzia chekechea, primary, o-level mpaka a-level st. Mary ya mbezi beach na kipindi chote hicho lilikuwa likipelekwa shule na gari ya familia.
Kuna siku toto likaulizwa unaijua eneo linaloitwa mwenge-dsm. Hapo ndipo alipoacha watu midomo wazi aliposema, "ndiyo ipo wapi hiyo, na unapitia njia gani?"
anamaanisha umekuwaje shabiki wa Yeboyebo/Kandambili na huijui vizuri? au ndio wewe wa kupelekwa na gari St Mary?Hakuna nilichoshabikia zaidi ya kucheka kuhusu huyo aliyeambiwa kuwa anaagiza ndizi na pilipili alizosahau kwenye gari.
Mpenda watu na hana makuu, gonga LIKE ikiwa umependa anavyojichanganya............Hebu fikiria ingalikua Mkulu au Obama.............(hadi kugonga menyu)
View attachment 101042