CHENGU MANURE
JF-Expert Member
- May 26, 2015
- 914
- 566
Katika hali ya kushangaza na kuwafanya viongozi wengi wa kikristo waishie kumpuuza,Wengine kupanic na kumtukana Researcher na proffessor wa mambo ya bibilia amekuja na hii kali. Prof Ziony Zevit
Baculum- huu ni mfupa uliopo katika uume wa mamalia wengine kama mbwa, sokwe, paka, tumbili
lakini mwanadamu wa jinsia ya kiume uume wake hauna mfupa.
FACTS ZAKE:
1. Neno la kiebrania linalotafsiliwa kama mbavu ni "TSELA" maana yake halisi ni "Mfupa wa nje au kitu kilichotokeza", ikimaanisha mfano, Mikono, Miguu au uume,
2. Mbavu za mwanadamu wa kike na wa kiume zinalingana, ingetolewa mbavu basi mbavu za mwanamke na mwanaume zisingelingana.
3:Anasema EVA aliumbwa kutoka katika BACULUM mfupa wa uume ambao upo kwa wanyama wengine ila mwanadamu hana mfupa katika uume wake. ni kwa sababu ulitumika kumuumba bibi yetu.
Karibuni wajuvi wa mambo,
CREATIONIST WENZANGU, THEOLOGIANS, WATAFITI, WACHUNGAJI NA MASHEHE, NA GREAT THINKERS
WOTE TUJARIBU KUFUNGUANA BONGO.

Last edited: