Prof Tibaijuka: Nawashukuru TEC kwa kusimama Imara propaganda za Udini zisitufarakanishe, Hakuna Kiongozi aliyeenda na Shehe au Askofu kusaini Dubai!

Waziri na Mbunge mstaafu mh Anna Tibaijuka amewashukuru Maaskofu wa Kanisa Katoliki kwa kusimama Imara kwenye mkataba wa Bandari

Prof Tibaijuka amesema hakuna Udini Kwenye mkataba wa Bandari kwani Viongozi hawakuambatana na Mashehe wala Maaskofu walipoenda Dubai kutia Saini

Amesema Anna kwenye ukurasa wake wa twitter

Kwako FaizaFoxy
Bibi Fei hawezi kukuelewa
 
Kwako Faizafix
 
Kwako FaizaFoxy 😂🔥
Ningemshangaq asiwasifie anaokula nao sahani moja.

Anafikiri tumesahau?

Anna Tibaijuka
Mama Amon
 
Asante sana Mh Prof Anna Tibaijuka

Yani issue ya dpw wanaopinga ni watu na akili zao wanaotetea wote mazwazwa darasa la 7b
Mkuu!
Hapo sio suala la elimu pekee kwa sababu ni tamaa binafsi za viongozi wetu tuliowaamini na kuwakabidhi dhamana ya kuhudumia nafasi hizo ambazo sasa wanazitumia vibaya.

Kama ni Elimu kule bungeni asilimia kubwa ni wasomi wakiongozwa na Spika msomi wa sheria.Na ndio waliopitisha hiyo "MoU" au "IGA" ya "DP-WORLD".
Tatizo ni tamaa za kujitajirisha kwa njia za mkato.

Hawa misukule kina Kitenge,Mwijaku,Steve Nyerere na wapambe nuksi wote.
Ni kundi la wapumbavu ambao kwao wako tayari kuuza chochote katika miili yao ilimradi wapewe pesa tu.

Ni kundi hatari kwa future ya Tanganyika sababu kuna utitiri wa vijana Chipukizi wanaoweza kuuiga huo ujinga.
 
Waziri na Mbunge mstaafu mh Anna Tibaijuka amewashukuru Maaskofu wa Kanisa Katoliki kwa kusimama Imara kwenye mkataba wa Bandari

Prof Tibaijuka amesema hakuna Udini Kwenye mkataba wa Bandari kwani Viongozi hawakuambatana na Mashehe wala Maaskofu walipoenda Dubai kutia Saini

Amesema Anna kwenye ukurasa wake wa twitter

Kwako FaizaFoxy 😂🔥
kesho tusikose mjadala wa Waraka wa TEC pale TV Imaan
 
Profesa shikilia hapo hapo.....

Wanapokosolewa ndio dini huchanganywa na siasa ila wakisifiwa husahau hilo.

Back
Top Bottom