Prof. Tibaijuka akanusha kumiliki Viwanja Kigamboni

joanfaith

Member
Apr 3, 2016
26
56
Taarifa. Sina plot hata moja Kigamboni. Mwenye ushahidi tofauti aulete. Viwanja vya Kisota ni mali ya ushirika wa wanawake wa nyumba. Viwanja hivyo walipewa na Waziri wa Ardhi aliyenitangulia Mhe John Chiligati. Mimi wakati huo nikiwa UNHABITAT.

Jambo moja linalonishangaza na kunisikitisha. Vijana mnaotakiwa kuwa na elimu na mori wa kujadili mambo/jambo ambalo kimsingi ni zuri. Kwa nini kabla ya kuandika msiyoyajua vizuri hamuendi kwenye sehemu husika kufanya utafiti kidogo? Chairman Mao alisema no research no right to speak.

Ukienda Wizara ya Ardhi watakwambia viwanja husika vya Kisota ni vya nani. Lakini uzembe! Mtu anakaa tu kwenye kiti chake anaandika mambo ya kashfa bila hata uchunguzi wowote. Jirekebisheni.

Dhambi hizo mbele ya Mwenyezi Mungu kuna siku zitawatafuna. Basi sasa umejua ukweli. Nendeni kawajulishe wananchi unaodai wanadhani viwanja ni vyangu.

Si kweli.

Mama T

=======

Hii habari ilianzia hapa=>Anna Tibaijuka Viwanja vyake watamnyang'anya?
 
Sasa wewe ulitegemea akubali......angekubali kirahisi mwakani nae tungemsikia forbes

Maana ingekuwa ni zaidi ya maajabu
 
Taarifa. Sina plot hata moja Kigamboni. Mwenye ushahidi tofauti aulete. Viwanja vya Kisota ni mali ya ushirika wa wanawake wa nyumba. Viwanja hivyo walipewa na Waziri wa Ardhi aliyenitangulia Mhe John Chiligati. Mimi wakati huo nikiwa UNHABITAT.

Jambo moja linalonishangaza na kunisikitisha. Vijana mnaotakiwa kuwa na elimu na mori wa kujadili mambo/jambo ambalo kimsingi ni zuri. Kwa nini kabla ya kuandika msiyoyajua vizuri hamuendi kwenye sehemu husika kufanya utafiti kidogo? Chairman Mao alisema no research no right to speak. Ukienda Wizara ya Ardhi watakwambia viwanja husika vya Kisota ni vya nani. Lakini uzembe! Mtu anakaa tu kwenye kiti chake anaandika mambo ya kashfa bila hata uchunguzi wowote. Jirekebisheni. Dhambi hizo mbele ya Mwenyezi Mungu kuna siku zitawatafuna. Basi sasa umejua ukweli. Nendeni kawajulishe wananchi unaodai wanadhani viwanja ni vyangu. Si kweli. Mama T
Kwani si ana Account hapa JF aje akanushe kwa kutumia account yake Prof
 
Sema Prof T,lkb Watanzania hasa Viongozi wamezoea kukanusha Ukweli,Angalia. Uchumi,Madawa,Maisha kwq jumla lkn tunaambiwa kila kitu kiko sawa......tumezoea kudanganywa....Ngoja tusome namba.
Sasa ulitaka afanye nini. Akae kimya?!
 
siku zote uongo hutumia 'lifti' kwenda juu, bali ukweli hutumia 'ngazi' kwenda juu, japo hufika ukiwa umechelewa ukweli siku zote hutamalaki, Ni suala la muda tu ukweli utaanikwa.
 
Taarifa. Sina plot hata moja Kigamboni. Mwenye ushahidi tofauti aulete. Viwanja vya Kisota ni mali ya ushirika wa wanawake wa nyumba. Viwanja hivyo walipewa na Waziri wa Ardhi aliyenitangulia Mhe John Chiligati. Mimi wakati huo nikiwa UNHABITAT.

Jambo moja linalonishangaza na kunisikitisha. Vijana mnaotakiwa kuwa na elimu na mori wa kujadili mambo/jambo ambalo kimsingi ni zuri. Kwa nini kabla ya kuandika msiyoyajua vizuri hamuendi kwenye sehemu husika kufanya utafiti kidogo? Chairman Mao alisema no research no right to speak. Ukienda Wizara ya Ardhi watakwambia viwanja husika vya Kisota ni vya nani. Lakini uzembe! Mtu anakaa tu kwenye kiti chake anaandika mambo ya kashfa bila hata uchunguzi wowote. Jirekebisheni. Dhambi hizo mbele ya Mwenyezi Mungu kuna siku zitawatafuna. Basi sasa umejua ukweli. Nendeni kawajulishe wananchi unaodai wanadhani viwanja ni vyangu. Si kweli. Mama T
Kumbe unajua kuna Mungu!
 
Kwani wanaandikaga majina yao?
Wanaelewa kila kitu kitakavyokuwa
Aenikumbusha alivyojitetea kuhusu Tshs 1.6Bil za Escrow kua hela hakupewa yeye bali zilikua ni za Shule ya Babro Johanssen, eti kwake zilipitia tu, utafikiri hiyo shule haina akaunti Benki.

Kuja kuchunguza kumbe shule ni ya kwake yeye mwenyewe.
 
Kwa vile mama T. ni member humu, hakuna ubaya akisema the link between yeye na huo ushirika wa wanawake wa nyumba.

Tumeshuhudia ushirika nyingi tuu ambazo ni just a cover up.

Mfano kale kamchango ka Kaka JR kumsaidia shule ya BJ, kwa nini kaliwekwa kwake wakati shule inazo accounts zake. Vivyo hivyo mnaweza kukuta mlezi wa ushirika huo ni Mama T. Au ndiye Mwenyekiti, hivyo watu wa maeneo husika wako right kusema viwanja hivyo ni vyake.

Pasco
 
Mwaka jana kwenye mdaharo HK kabla ya kuwa naibu waziri wa afya aliwahi kanusha kuwa MHC hakuna wagonjwa wanalala chini.
 
Wala haishangazi akikanusha.
Hivyo viwanja siku nyingi tu vinajulikana ni vya kwake na nina uhakika havitakuwa vipo kwa jina lake na ndio mana anapata uwezo wa kukanusha.
Hata maeneo ya mabwepande kuna eneo linasemwa ni la huyu mama.
Kukanusha ni kawaida yenu.
 
Kwa vile mama T. ni member humu, hakuna ubaya akisema the link between yeye na huo ushirika wa wanawake wa nyumba.

Tumeshuhudia ushirika nyingi tuu ambazo ni just a cover up.

Mfano kale kamchango ka Kaka JR kumsaidia shule ya BJ, kwa nini kaliwekwa kwake wakati shule inazo accounts zake. Vivyo hivyo mnaweza kukuta mlezi wa ushirika huo ni Mama T. Au ndiye Mwenyekiti, hivyo watu wa maeneo husika wako right kusema viwanja hivyo ni vyake.

Pasco
Pasco bado nashindwa kukuelewa na ntashindwa milele mpaka hapo utakaponiambia your true color!
 
Back
Top Bottom