Prof. Sospeter Muhongo VS Dr. Peter Slaa 2015!!

Prof. Sospeter Muhongo VS Dr. Peter Slaa 2015!!

Dr Slaa ni kama mtume Chadema marufuku kulinganishwa na binadamu yeyote.

Chadema ipi unayoisema? Mtume yupi to be equated with Dr.Slaa? Sounds blasphemous but don't blame it Chadema. You have deliberately archtected it. Lakini hata hivyo attempt to substantiate with vivid facts labda unaweza kueleweka na ukaendendana na thread iliyopo
 
as long as muhonga youp ccm, hawezi kuleta mabadiliko yoyote. hebu kumbukeni nani lijua kuwa JK ni dhaifu, system ya ccm imemsagasaga na sasa hajui hata kama ni rais, amecha kufanya mambo ya maendeleo amebaki kuwa saidia wavuta unga

Ndahni kikwete anatamani aanzishe NGO yake kwa ajili ya kusaidia wasanii na wavuta unga. hayo ndiyo hata muhongo atafanya. so Slaa ni zaidi.
 
Dr Slaa ni kama mtume Chadema marufuku kulinganishwa na binadamu yeyote.

Acha kupotosha watu wewe RITZ. Kada wa CCM juzi ndiyo amesema LIVE kwamba Kikwete ni sawa na MUNGU.

Hayupo kada wa CDM aliyewahi kusema kwamba Dr. Slaa ni mtume.

BTW, hivi huyo Mtume, I suspect unamzungumzia Mtume Mohammed SAW, hakuwa binadamu?
 
wani mifumo inatoka mbinguni si inatengenezwa na watu. Kama watu hawana tatizo kwa nini mifumo wanayoisimamia iwe na matatizo?

Jamani ni afya kwa nchi kubadili mifumo ya utawala kila baada ya miaka kadhaa. Mfumo uleule tokea uhuru!! Bado nchi inaendelea kuwa na watu maskini wa kudharauliwa miaka nenda rudi. Hebu niambieni awamu ya kwanza kwa miaka 20+ ilituvusha kwenye orordha ya nchi maskini kwa kiwango gani? Awamu ya pili nayo ilituvusha kwa kiwango kipi? Awamu ya tatu ilituvusha kwa kiwango gani. Awamu hii ya JK nayo imetuvusha kwa kiwango kipi kama sii kutudidimiza kwenye wimbi la umaskini na au kutuacha tunabaki standby na wengine wanatupita? Natamani Mungu aniweke nione nchi hii ikiongozwa na chama kingine hata kwa ubaya kwangu mimi itakuwa mabadiliko ya kujifunza kitu.
 
Mbona watu hawataki kuelewa ujumbe wa Ritz, au ni kwa sababu ya macho na akili kuzibwa na kiwiliwili cha Dr. Slaa.

Ritz ana maana kwamba, Dr. Slaa ni mtume ndani ya CHADEMA, nothing more
 
Muhongo kama lilivyo jina lake muhongo he prove failure,kamtwara kale eti kamtwara,mtwara pale pamemtoa kamasi ndo apewe nchi?
We need a new operating system rather than chama cha mabwepande.
 
Tatizo la nchi sio mtu ni CCM hata slaa akiwa rais kupitia ccm hamna maendeleo ndi maana tunataka kuformat tuweke operating system mpya ambayo ni Chadema
wao wanatumia Ms DOS 6.0 na imecorrupt -- sasa sisi tunataka kuformat tu-install Red Hat - Linux 6.2 ambayo ni vigumu mno kuingiliwa na virusi kama masalia na aina nyingine ya virusi hatari kama MP7. Pia ina graphical interface so its user friendly.
 
Kuna watu humu fikra zao zinatisha hadi unawaza mtu kama huyu akipewa nchi JF itabakia kama hii tuliyonayo yenye uwezo wa kuikosoa serikali bila kikomo (Beyond Limit)?!! Watu kama hawa kweli wataruhusu Rais "wao Mpendwa" akosolewe?
 
Mbona watu hawataki kuelewa ujumbe wa Ritz, au ni kwa sababu ya macho na akili kuzibwa na kiwiliwili cha Dr. Slaa.

Ritz ana maana kwamba, Dr. Slaa ni mtume ndani ya CHADEMA, nothing more


Wewe unafikiri hapo kuna kitu umesema chenye mantiki. Mtume yupi ambaye anataka kulazimisha analinganishwa na Dr.Slaa? Kuna mitume wengi wa ukweli na uwongo. Yupi kati ya hao wawili na atupe facts zinazomfanya yeye kuwaweka CHADEMA ndani ya kapu moja kwa kile anachotaka kuwazushia
 
Muhong'o is a good man but chama anachokitumikia ni kibovu. Hivi karibuni naye alianza kuleta dharau zile za kuwabwatukia wananchi wa mikoa ya kusini. Ulevi wa madaraka SISIEMU ndiyo unatupa shida. Ukichanganya na kiburi cha Musoma route ndiyo balaa kabisa.
 
Avatar yako na uzi wako kama vile vinaendana,ndo maana unauliza majibu mwanzo mwisho,
Watu wanaokataa kuuliza maswali ndiyo hutawaliwa kijinga na mafashisti huku wakiwaimbia nyimbo za kuwasifia. wewe kama ungekuwa na uwezo ungejibu maswali yaliyoko kwenye hili bandiko!!
 
Professor Sospeter Muhongo akisimamishwa na chama chake atawashinda wagombea wengine kwa misingi ya kuwa:

1. Chama chake ndicho kinachokubalika kwa watanzania walio wengi.
2. Ni jasiri ambaye ameweza kupambana na ufisadi ndani ya TANESCO
3. Ni msomi mzuri tena taaluma yake ndiyo inategemea kusimamia uchumi wa Tanzania katika awamu zijazo hasa baada ya kugundua gesi, madini na pengine mafuta hapo baadae.
4.Hana makundi ndani ya chama chake na hivyo ataungwa mkono na wanaounga pande zote zinazokinzana ndani ya chama chake.
5. Siyo mtu wa blabla na siasa za sasa zinahitaji mtendaji mwenye maneno kidogo utendaji mwingi.
6. Msimamo wake ukiangalia hoja zake kuhusu yaliyojiri Mtwara anaonekana atakuwa mtu wa kutetea umoja wa kitaifa na hivyo ataweza kulinda umoja wetu.
7. Hana kumbukumbu ya kupatikana na kashifa za ufisadi na maisha yake ya nyumbani hatujasikia kuwa na kashfa yoyote.

Hizi ni baadhi ya sababu lakini swali la kujiuliza ni je atapendekezwa na chama chake na yeye atakubali ? kwani hajaonyesha nia ya kutaka kugombea.
 
Hìi haina ubishi kabisa mfumo wa CCM ya sasa sio nzuri aise ni tamaa tupu ya madara watu wa Dodoma naomba mtoe ushahidi kuhusu uchaguzi wao wa juzijuzi ulikuwaje? Manake fedha zilikuwa zinatembea si mchezo sasa utasema bado kuna chama hapo au ni uozo tu
 
Kiukweli CHAMA pamoja na MFUMO WAKE ni tatizo kubwa katika maendeleo ya nchi hii.

watu wame tofautiana kuna ambao wapo safi kiutendaji, na ambao hawapo safi kiutendaji.

swala kubwa ni kivipi chama pamoja na mfumo wake una weza kuathiri maendeleo ya chi; hii ni pale chama kutokana na mifumo au misingi iliyo jiwekea kinashindwa kusimamia uwajibikaji ndani ya chama na kushindwa kutumikia wananchi.

Tumekuwa mashahidi wa kilasiku kwamiaka tofauti MAWAZIRI WA CHAMA CHA MAPINDUZI wakiboronga katika utendaji wao na chama kisichukue hatua zozote juu yao.

MAWAZIRI WA SISIEM WAMEKUWA WAKIFISIDI MALI ZA UMMA LAKINI HATUA ZINAZO CHUKUKLIWA NI KUHAMISHWA KUTOKA WIZARA MOJA KWENDA WIZARA NYINGINE, ILI AKAENDELEE KUIBA ZAIDI, ZAIDI YA HAPO WANAACHISHWA UWAZIRI BILA KUCHUKULIWA HATUA ZA KUFUNGULIWA MASHITIKA YA KUTUMIA VIBAYA MADARAKA NA KUJINUFAISHA.

katika mambo hayo yote hakuna hatasiku moja tukasikia kuwa SISIEM imewachukulia hatua zozote wanachama wake ambao wametummia vibaya madaraka kwa kujinufaisha.

Wameendelea kushikilia nyadhifa zao katika chama na bila kuhojiwa wala kuwavua uanachama au nyadhifa walizo kuwanazo ndani ya chama.

HAPO NDIPO TUNAPOSEMA KUWA SISIEM NI JANGA LINALO ZUIA MAENDELEO YA TIFA HILI.

POLENI WANA SISIEM YOUR END IS NEAR.
 
wewe dr slaa yuko juu saaana kwasasa tatizo n hiki chama chao cha kigamba
 
Huyo muhongo ata akigombea peke yake simchagui, sioni chochote cha maana anacho fanya, kazi kutafuta huruma ya wananchi. Siyo siri nchi hii watu wanaichezea sana! Mi naona muhongo ni tatizo kubwa tu, labda kwasababu anatinmiza itikadi hizo CCM
Wile Gamba,

Tunapokuwa tunatoa hoja kuhusiana na utendaji kazi wa huyu Professor tukumbuke pia kuwa amekabidhiwa wizara ikiwa ndani ya crisis tayari, tofauti na wengine walioteuliwa kuchukua wizara ambazo zilikuwa shwari. Zaidi ya hapo, wizara anayoshikilia yeye ni nyeti mno, kiasi kwamba mpaka sasa ameshafanya makubwa mno ikiwamo la kusitisha mgawo wa umeme.

Vinginevyo sasa watanzania mimi nadhani inabidi tuhamie misikitini na kwenye makanisa tumwombe Mungu atushushie malaika kutoka mbinguni waje waendeshe cabinet ya Mh Kikwete! Napita tu lakini ndugu yangu!
 
Bado tu unajiita freshthinking kwa huu ----- unaoleta humu JF ???.
Je kuna mahali popote mleta mada kamtaja Zitto?????
Kama unampenda sana Ndg Zitto oana naye.
siku nyingine acha kutuchafulia mada anzisha ya kwako.

'great thinker' mada haijabadilika ni ile ile, hujaelewa, unapaswa kuitafakari kwanza! Kitu cha kwanza CDM haijapitisha mgombea ndio maana nikakupa changamoto kwanza ili mumlete mgombea bora zaidi. Namaanisha, mwenye elimu ya kutosha, uzalendo na ujasiri wa maendeleo, asiyeyumba na anayekidhi vigezo alivyoleta mleta mada.

Hatuwezi kuchagua bora afadhali tu.

Pia ukumbuke post yoyote unayoweka ni kwa ajili ya umma siyo ya kwako.


Ujumbe:

“A fanatic is one who can’t change his mind and won’t change the subject.”
-Winston Churchill
 
Back
Top Bottom