mhsamehe ajui alifanyaloShika adabu yako!!
mhsamehe ajui alifanyaloShika adabu yako!!
Kama hawafuati sera za vyama vyao hawafai na wanapaswa kuwajibishwa! Nasisitiza kuwa kiongozi bora ni yule anayefuata na kuzingatia miongozo waliyokubaliana na siyo kufuata matakwa yake!Kwani huwezi kujenga hoja bila ya kutumia lugha ngumu? Ni chama gani Tanzania viongozi wake wanafuata sera zake?
naomba ukajisaidie kisha ulale.
Kama hawafuati sera za vyama vyao hawafai na wanapaswa kuwajibishwa! Nasisitiza kuwa kiongozi bora ni yule anayefuata na kuzingatia miongozo waliyokubaliana na siyo kufuata matakwa yake!
Hata mimi nakubaliana na wewe kwamba viongozi wasiofuata sera za vyama vyao hawafai. Lakini hapo unapotaja "viongozi" si unataja watu?? Unadhani mtu mzuri hawezi kubadili taasisi mbovu kuwa nzuri?......
Unaamini kwamba kila aliyeko CCM ni tatizo na kila aliyeko CHADEMA ndiye suluhisho??......
kama tatizo sio watu ni ccm; hebu nambie ccm kama chama tatizo lake ni nini(ukiweka mbali watu ambao unasema si tatizo)......?
Tatizo la nchi sio mtu ni CCM hata slaa akiwa rais kupitia ccm hamna maendeleo ndi maana tunataka kuformat tuweke operating system mpya ambayo ni Chadema.......
Uhovyo wangu ni kwa kulitaja jina la Muhongo? Muhongo majibu yake kuhusu Gesi uliyasikia?......
Porojo tupu, narudia tena hii thread ni ya kijinga kabisa........
Hebu tujaribu kuvitumia hivyo vigezo kuwalinganisha Zitto na Slaa. Nani atafaa zaidi 2015?
Nakuacha na tafakuri ya leo ili akili ichangamke kidogo:
It is better to be hated for what you are than to be loved for what you are not.
-Andre Gide