Prof Sospeter Muhongo na ahadi ya megawati 5,000

M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
13,203
23,020
Hii hapa chini ni excerpts kutoka gazeti la Mwananchi la leo likinukuu a very bold pledge kutoka kwa waziri mpya wa nishati na madini, prof sospeter muhongo.
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo alisema umeme ni kipaumbele muhimu kwake akisema sasa anashangaa kwa nini nchi haina megawati 1,500 za uhakika.

Alisema atahakikisha Watanzania wanapata umeme wa uhakika na kujitahidi kuwa na megawati zipatazo 5,000ambazo zitasaidia kukuza uchumi na kupunguza makali ya umeme kwa wananchi.


my take:

sote twajua kwamba there has been a lot of hype kuhusu uwezo wa prof muhongo. hii imepelekea watu wengi kuwa na expectations kubwa baada ya yeye kuchukua portfolio hii muhimu sana kiuchumi.

my only (and biggest) concern ni hili la yeye kutoa pledge ya 5,000 MW. this is massive, isn't it?

is this one of those unfortunate political outbursts or the guy really knows what's talking about? does he realise the odds stacked up against him and has therefore factored them into this massive pledge?

if it's a political outburst, then this extensively hyped professor has shot himself on the foot even before climbing an inch up his political career ladder!
 
Yetu macho maana hata 2005 tulihaidiwa maisha bora kwa kila mtanzania.

Shardcole@Tabora1
 
atazitoa wapi? Akiwa seriuos ataweza, tuna resources za kutosha.
 
Yeye aache mambo ya pledges hapa, aingie na tunataka results!! Hizo ni ahadi zisizo faa, aje na ahadi zenye time frame window!! Na kwa kuwa ofisi yake ni public, aanike mipango yake!! ndo tukaa tujadili!!!
 
Kudos Prof. target ya MW5000 inaweza kuwa juu sana lakini tutaridhika iwapo utafikia japo nusu yake.

Wanaokubeza washindwe na walegee!
 
Pledges without calculations is illusion. But let's pause for a while to see how is determined to put his pledges into reality. His first ministrial budget will disclose a lot for us. He has one month ahead to prove his miracles from his budget presentation. Otherwise nae ni upepo unapita.
 
Exactly! Think big brother and always aim high!

yes i agree. but achievable aims.

otherwise dont start crying foul when the sharks and wolves start it on you. that will surely consign all your credibility (which is why am concerned because i know what kind of a remarkable professional this muhongo guy is) deep down into a pit toilet!
 
Huyu ananikumbusha watangulizi wake na kauli zao juu ya umeme

  1. JK - Mgao utakuwa historia - Punde tu alipoingia madarakani 2005 na tukaishia kupewa RICHMOND
  2. Ngeleja - Mgoa wa umeme utakuwa historia - Baada ya kuchukua hii wizara na akairejea wabaada ya uchaguzi 2010
  3. Ngeleja - Tutazalisha umeme wa nukilia - Baada ya kutangaza kuwa wataanza kuchimba uranium

USHAURI

Mh. Waziri badala ya kutoa kauli nzito kama hizi "5000MW" wakati wenzio wameshindwa kuongeza 1000MW ndani ya miaka yote ya uhuru ni bora uingie kwanza ofisini na kuangalia kama unaweza hata kupata 400MW katika miaka hii mitatu iliyobaki.

YETU MACHO, na Tunakutakia kila la kheri Prof. katika hizo ndoto/njozi zako!
 
Hakuna kisichowezekana apo ni kuwa optimistic tuu and trying to think big.
Izi ni zama za kufikilia kuuza umeme sio mgao jamani
All the best prof Sos
 
Hivi akiweka full force Kiwira kwa miaka 2 na nusu atashindwa kuzalisha hiyo megawatt 5000, mbona kama NSSF wameonyesha interest ya kuwekeza hapo! Mi sioni kama kuzalisha 5000MW ni ajabu, we are only lacking seriousness.
 
Wacha tusubiri kama ndio yaleyale ya kina Ngeleja na kukurupuka shauri yake!!

idea ni nzuri lakini kikwazo ni serikali yake, anaposema 5000MW lazima pia afikirie kuwa maji sio chanzo cha kukiamini, hivyo lazima kuwe na vyanzo mbadala ambapo fedha lazima itahusika na serikali ndio hiyo imefulia.
 
Back
Top Bottom